Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Qashy Lilith

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2024
Posts
1,508
Reaction score
2,965
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
 
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe ....

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa ....sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo ....

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie....

Asanteni..
Wewe fala sana. Achana na huo ujinga huwezi kuwa kichaa na haitatokea uwe kichaa. Ila ukiweka moyoni utakuwa kichaa kweli kwa kuwa unakumbuka ujinga. Achana na huo ujinga sahau kama haujawahi ingia commitment na mtu. Hata uchawi upo kwa kiasi kidogo sana. But zaidi changamoto ni kuwa watu wanalogana kwa maneno. Anaanza kuwaza vitu ambavyo kisayansi haviwezi tokea. Unamia psychological disorder kuliko uhalisia. Ukiamua kuacha kufikiri inapotea and you move on
 
Back
Top Bottom