Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #21
Umalaya nimelalwa na wwAcha umalaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umalaya nimelalwa na wwAcha umalaya
Nmependa hii asanteWewe fala sana. Achana na huo ujinga huwezi kuwa kichaa na haitatokea uwe kichaa. Ila ukiweka moyoni utakuwa kichaa kweli kwa kuwa unakumbuka ujinga. Achana na huo ujinga sahau kama haujawahi ingia commitment na mtu. Hata uchawi upo kwa kiasi kidogo sana. But zaidi changamoto ni kuwa watu wanalogana kwa maneno. Anaanza kuwaza vitu ambavyo kisayansi haviwezi tokea. Unamia psychological disorder kuliko uhalisia. Ukiamua kuacha kufikiri inapotea and you move on
Hicho kiapo kitakuwa na nguvu dhidi yako kama wewe utakipa nguvu tu.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
SawaKinachokutesa ni Fikra tu, Nothing else.
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Kama yupo hai mtafute, kuna namna ya kuvunja. But kama huwez mpata basi ingia kwenye maombi mazito sanaMiezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Hicho kiapo kitakuwa na nguvu dhidi yako kama wewe utakipa nguvu tu.
Ukikipotezea hakina nguvu kwako.
It is all psychological.
Ni kweliWw nenda kagawe tuu, hakuna cha kiapo cha damu zaidi tuu mlikuwa na akili za kipuuzi kipindi hicho
Hujasema mlivyofanya hicho kiapo mlitumia damu ipi na mlikua wapi na nani?Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
DuhHebu acheni kutishana hayo mambo hayapo ni ujinga tu
Umeambiwa kuvunja hayo maneno ni mpaka yeye awepo? Anza wewe either kwa kufunga na kuomba kwa muda utakaojipangia huku ukikana na kukivunja iko kiapo kwa maneno yako amini it will work.Na hataki kuja tuvunje hayo maneno itakuwaje
Yupo hai ila hataki kuvunjaKama yupo hai mtafute, kuna namna ya kuvunja. But kama huwez mpata basi ingia kwenye maombi mazito sana
CCM INAWAPUMBAVU WENGI SANAMiezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Tulikuwa wawiliHujasema mlivyofanya hicho kiapo mlitumia damu ipi na mlikua wapi na nani?