Kiapo cha damu nlichokula na boyfriend wangu kinanitafuna aiseee

Wewe bado unampenda huyo boy wako, alikukaza vizuri ndo maana unamuwazaz sana na unasingizia ujinga mwingine. Be real, mwambie bado unampenda.
Hataki kukubali kama ananipenda bado
 
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
Pole sana. Haijalishi dini yako ila Jina la Yesu Kristo linaponya. Fuatiza maneno haya. Mungu nakuja mbele zako kuomba toba kwa kiapo ambacho niliingia bila kukushirikisha wewe, Mungu ninaomba unisamehe kwa kufanya kiapo amabcho ni kinyume na matakwa yako. Mungu natubu hii dhambi ya kiapo kwani ni kinyume na yale uyatakayo wewe kama yalivyo mapenzi yako juu yangu. Mungu ninatubu na dhambi zingine zote ambazo Mungu nilifanya kwa kutenda au hisia ambazo ziliniwekea kifungo cha viapo vingine. Mungu ninaomba toba kwa niaba ya kijana ambaye tuliingia mahusiano na akatamka maneno ya kunifunga kwa kiapo, naomba Mungu msamaha kwa niaba yake. Mungu wangu Baba Yangu naomba kuvunja maneno na viapo vyote tulivyovitamka na kijana (taja jina), nina nyunyizia damu ya Yesu Kristo, ikatangue maneno na viapo vyote ambavyo tulivutamka. Nina nyunyizia damu ya Yeau Kristo, damu ya Agano jipya kwenye kauli na maneno ambayo kijana (taja jina) aliyatamka, kuanzia sasa maneno yake yakose nguvu na damu ya Yesu Kristo ikayayeyushe yote nibaki na baraka zako Mungu ulizoniumbia. Naomba hayo yote ktk jina la Yesu Kristo, Amina.

Ukiyafuatisha hayo maneno, na unaweza kuongezea kadri unavyoona basi hicho kiapo hakitafanya kazi kabisa na utakuwa huru.
 
Pole sana. Haijalishi dini yako ila Jina la Yesu Kristo linaponya. Fuatiza maneno haya. Mungu nakuja mbele zako kuomba toba kwa kiapo ambacho niliingia bila kukushirikisha wewe, Mungu ninaomba unisamehe kwa kufanya kiapo amabcho ni kinyume na matakwa yako. Mungu natubu hii dhambi ya kiapo kwani ni kinyume na yale uyatakayo wewe kama yalivyo mapenzi yako juu yangu. Mungu ninatubu na dhambi zingine zote ambazo Mungu nilifanya kwa kutenda au hisia ambazo ziliniwekea kifungo cha viapo vingine. Mungu ninaomba toba kwa niaba ya kijana ambaye tuliingia mahusiano na akatamka maneno ya kunifunga kwa kiapo, naomba Mungu msamaha kwa niaba yake. Mungu wangu Baba Yangu naomba kuvunja maneno na viapo vyote tulivyovitamka na kijana (taja jina), nina nyunyizia damu ya Yesu Kristo, ikatangue maneno na viapo vyote ambavyo tulivutamka. Nina nyunyizia damu ya Yeau Kristo, damu ya Agano jipya kwenye kauli na maneno ambayo kijana (taja jina) aliyatamka, kuanzia sasa maneno yake yakose nguvu na damu ya Yesu Kristo ikayayeyushe yote nibaki na baraka zako Mungu ulizoniumbia. Naomba hayo yote ktk jina la Yesu Kristo, Amina.

Ukiyafuatisha hayo maneno, na unaweza kuongezea kadri unavyoona basi nte dadhicho kiapo hakitafanya kazi kabisa na utakuwa huru.
Asante sana dada...naahidi kuomba kupitia hay maneno🙏ubarikiwe
 
Mama yangu mkubwa alikuwa kila akizaa mtoto basi hujifungua wa kike, basi ikamfanya azae zaidi ya watoto saba, basi alisema hivi "" MWAKA NITAKAPOZAA MTOTO WA KIUME, MIMI.... NITAKWENDA KATIKATI YA BARABARA NITATOA ULIMI WANGU NA KUKAMBA MCHANGA""

Mwenyezi Mungu akaleta mtoto wa kiume, sasa yule mtoto akawa anaumwa sana, kila anapokwenda tiba ngumu, ndio akaenda kuombewa DUA ndipo alipoulizwa hujawahi kuweka NADHILI??? ndio alipokumbuka na kufanya kile mtoto ikawa matatizo kuishia pake
SPIRITUAL WORLD control fresh world
 
Linapokuja suala la ulimwengu usioonekana, Watanzania wengi kizazi cha sasa ni maamuma, wajinga kabisa hakuna kitu wanajua...

Ujinga wa Watanzania kwa ujumla wao ni tatizo namba moja linalochangia umasikini...

Yaani kuna mtu mmoja anashindwa kuamini ya kwamba "kiapo" ni kitu kinachoishi, na mtu huyo huyo huwa anashuhudia viongozi wakila kiapo cha uaminifu...

Sasa kama huamini kiapo, ina maana hata viongozi wako wa serikali na nchi huwezi kuwawajibisha...
 
Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.

Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)

Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.

Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.

Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..

Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.

Asanteni..
Labda kama huna dini na humjui Mungu ndio kiapo kitakusumbua,lakini kama unamjua na kumsujudu Mola wako,kiapo ni ushetani na wala hakina nguvu
 
Back
Top Bottom