Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
- Thread starter
- #201
GeitaHuyo mwanaume ni mtu wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GeitaHuyo mwanaume ni mtu wa wapi?
Damu baada ya hapo Kila mtu alilamba kutoka kwenye kidole chakeSikutushi nakwambia ukweli nimetokea kwenye mazingira ya mambo ya asili sana japo sipendelei ayo mavitu kama mtu anaweza kukuombea mabaya kupitia majina yako tu na ayo mabaya yakakupata vizuri itakua damu Yani apo mlikua mnajiroga bila kujua kama mnajiroga
Kuna mtu alikuliza iyo damu mlipeleka wapi badaa ya kula hicho kiapo hukumjibu alikuliza swali la Msingi sana ushajiuliza kwanini mtu akienda kwa mganga kutibiwa ili apate ulizi huwa anachanjwa afu dawa anapakwa kweny chale zile zenye damu.jibu jepesi Damu ndio nafasi yenyewe ukiweza kulinda Damu ujue umemlinda mtu Damu ni kitu cha muhimu sana kwenye miwili wa Binadamu ki Biology na kiroho.
Nadhani Mimi ndo wa mwishoHivi haya mambo bado yapo
Ngoja nimtafute ntakupa mrejeshoLaana hutamkwa na mbaraka hutamkww, maagano yoyote ya dam yana nguvu ya nafsi. Hivo mtafute mwanaume wako umkumbushe maagano mliyofanya na umwambie hauko tayari kuvunja mamagano, endapo atakukataa basi wewe utakuwa salama
Dogo unafukuzwa na kivuli chako, acha huo ujinga pata dume kula maisha hufi wala nini.Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Umalaya nimelalwa na ww
Asikudanganye mtu, huo ulikuwa ni usingizi wa mahaba, move on, pata dume jipya kula vitu binti mzuriNadhani Mimi ndo wa mwisho
Basi inawezakan ukajinasua vizuri kama hamkuchanganya damu na kufukia chini ni hatua nzuri ngoja nimulize mafia wa hiyo michezo afu nitakurudiaDamu baada ya hapo Kila mtu alilamba kutoka kwenye kidole chake
Aya asanteDogo unafukuzwa na kivuli chako, acha huo ujinga pata dume kula maisha hufi wala nini.
Hayo maneno alijisemea wala sio wewe
Haikufika chini ilikuwa tu katundu kadogo kwenye vidoleBasi inawezakan ukajinasua vizuri kama hamkuchanganya damu na kufukia chini ni hatua nzuri ngoja nimulize mafia wa hiyo michezo afu nitakurudia
Asante♥️Asikudanganye mtu, huo ulikuwa ni usingizi wa mahaba, move on, pata dume jipya kula vitu binti mzuri
Ndugu maneno uumba huyu anatakiwa ajiombee sana kuvunja hayo maaganoHamnaga hivyo vitu..dunia isharahisishwa sana.
Unajua kupiga chai zenye viungo vya pwaniHuyu ni WA huu mwaka
Ya rangi auUnajua kupiga chai zenye viungo vya pwani
Hii ina uhusiano kweli kisayansi?Miezi.kadhaa mwanaume niliyekuwa naye kwenye mahusiano alitoa wazo la kula kiapo cha damu na tuliridhia kweli tulipima kwanza ukimwi alhamdullilah wote tulikuwa negative na kiapo tulikula.
Kama kawaida wote tulitaja consequences za ikitokea mmoja kavunja kiapo ...yeye alisema haya maneno:
"Nikicheat au nikimuacha""(NIwe nateseka kwenye mapenzi .....niwe wa kulia lia na kuachwa ....nisidumu katika ndoa yyt.....maisha yangu yote nimuone yeye ...nikilala na mkaka mwingine niwe kichaa...atakae nioa afe)
Na Mimi consequences nilisema ila sizikumbuki baada ya kudumu miezi 6 tuliachana sababu ya jambo Fulani ila sitaliweka hadharani mtanisamehe.
Na tuliachana ...kiapo hajawai kutaka kuvunja huyo mkaka Kila nkimuambia ananigeuka hajala na Mimi kiapo Mimi kadri navyojaribu kumove on nashindwa sijwahi kujihusisha kimapenzi mwanaume mwingine maana naogopa kuwa kichaa na kufa kwa pamoja kutokana consequences za kiapo.
Naomba mnisaidie ....nimeona Bora kushare na nyie humu ndugu zangu ntakuwa nimetatua nusu ya tatizo ..
Maana mtandoni nimeperuzi naona consequences hutokea Sasa nashindwa kama ni kweli au la... au kuna mmoja aliwai.kuwa victim aniambie.
Asanteni..
Ukipata muda nipitie nikupe hints namna ya kuvunja hilo aganoAsante♥️
Sijui akiHii ina uhusiano kweli kisayansi?
Haina nomaUkipata muda nipitie nikupe hints namna ya kuvunja hilo agano