Uchaguzi 2020 Kiapo cha Halima Mdee na wenzake: Mnawaonea kuwaita wasaliti bila kujua kilicho nyuma ya pazia

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.

Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.

Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.

Lakini mnaelewa nini kimewasibu.

Just please try hata siku moja be positive. Think different
 
Hakuna kinachoweza kuhalalisha haramu jombi. Simple and clear!

Keep note kwa personalities zote kwa majina yao watakaokuunga mkono. Zingatia kufahamu synonymity yao na njaa halisi ya matumbo yao, achilia mbali majina yao.
 
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.

Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.

Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.

Lakini mnaelewa nini kimewasibu.

Just please try hata siku moja be positive. Think different
Under what argument to think positively
 
Haya kwakua mumekubali matokeo, sasa tunawataka haraka saana mkakusanye vile vikaratasi vyenu mlivyovisambaza kwenye jumuia mbali mbali mkituhumu uchaguzi haukua wa haki.

Hii unaielekeza kwa halima, esther au jesca?

Unadhani hawa wa mashinji wana baraka za kamanda mkuu Lissu?

Mtasubiri sana wajomba. Dhahabu hujaribiwa kwa moto.

Mmelamba magaras(h)a matupu!
 
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.

Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.

Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.

Lakini mnaelewa nini kimewasibu.

Just please try hata siku moja be positive. Think different
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
 
Siyo Kwa "Idd Amin" au Adolf Hitler ambapo unaweza kupaza sauti bungeni, akina Halima Mdee ni wasaliti
 
Hii unaielekeza kwa halima, esther au jesca?

Unadhani hawa wa mashinji wana baraka za kamanda mkuu Lissu?

Mtasubiri sana wajomba. Dhahabu hujaribiwa kwa moto.

Mmelamba magaras(h)a matupu!
Lisu, yupi huyo, yulemzee wa kiki
 
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Mapambano ya chama kimoja yana tija gani kwa taifa?.Hapo ni mwendo wa kulindana mwanzo mwisho.
 
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.

Sio kwa hili bunge kibogoyo.
 
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Kususia ingekuwa ishara ya kupinga mabaya yote yaliyofanyika ktk uchaguzi mkuu.
 
CCM ndio mnaowatetea kina Halima Mdee. Huyu Ni kigeugeu jina lake tu utata mtupu, hajulikani hata dini gani Halima James
Ina maana chadema HAKUNA wenye akili Hadi kila kitu wafanyiwe na CCM? Kwani CCM wakiwatetea chadema wao hawana akili waache kusikiliza CCM wafanye Mambo yao ya saccos peke yao bila kutuma a akili za CCM?

Halafu kila Mara chadema mnasema CCM hawatumii akili kufikiria Sasa iweje huko chadema wanasubiri kutetewa na CCM halafu nao wanakubali kutetea baada ya kutetewa?
 
MIMI SIO CCM WALA SI MWANASIASA, ILA NAZIONAGA SIASA KWENYE TAARIFA TU...NA HILI LA KINA MDEE...NAPATA UKAKASI KUAMINI NI USALITI BILA USHAHIDI ULIO WAZI...

Kama una uhakika na madai ya USALITI, NJOO USHAHIDI ULIO WAZI, SIO DHANA TU...
 
Back
Top Bottom