Mtendaji Mkuu wa chama ambaye ndiyo KATIBU MKUU amehojiwa jana kajibuje kuhusu hilo? hapo ndipo wananchi wanaposimamia - kauli ya KATIBU Mkuu ndiyo kauli ya chama na ndiyo msimamamo wa chama.Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.
Lakini mnaelewa nini kimewasibu.
Just please try hata siku moja be positive. Think different