AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Naunga mkono hojaHapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko....
Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.
Lakini mnaelewa nini kimewasibu.
Just please try hata siku moja be positive. Think different
CCM ndio mnaowatetea kina Halima Mdee. Huyu Ni kigeugeu jina lake tu utata mtupu, hajulikani hata dini gani Halima James
Under what argument to think positivelyHapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.
Lakini mnaelewa nini kimewasibu.
Just please try hata siku moja be positive. Think different
Haya kwakua mumekubali matokeo, sasa tunawataka haraka saana mkakusanye vile vikaratasi vyenu mlivyovisambaza kwenye jumuia mbali mbali mkituhumu uchaguzi haukua wa haki.ambayo hata mwenyewe umeshindwa kunyaandika,haaa haaa hii ndo Tz
Haya kwakua mumekubali matokeo, sasa tunawataka haraka saana mkakusanye vile vikaratasi vyenu mlivyovisambaza kwenye jumuia mbali mbali mkituhumu uchaguzi haukua wa haki.
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.Hapa kuna mambo yaliyopo nyumba ya pazia ambayo yamewapata hawa akina Mdee, Bulaya na Matiko.
Lakini hakuna hata mmoja aliyewawazia upande wa pili.
Wote mnachezeshwa ngoma na CCM, mnawaaccuse USALITI tu.
Lakini mnaelewa nini kimewasibu.
Just please try hata siku moja be positive. Think different
Siyo Kwa "Idd Amin" au Adolf Hitler ambapo unaweza kupaza sauti bungeni, akina Halima Mdee ni wasalitiTatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Lisu, yupi huyo, yulemzee wa kikiHii unaielekeza kwa halima, esther au jesca?
Unadhani hawa wa mashinji wana baraka za kamanda mkuu Lissu?
Mtasubiri sana wajomba. Dhahabu hujaribiwa kwa moto.
Mmelamba magaras(h)a matupu!
Mapambano ya chama kimoja yana tija gani kwa taifa?.Hapo ni mwendo wa kulindana mwanzo mwisho.Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Kaapa kwa Bible.CCM ndio mnaowatetea kina Halima Mdee. Huyu Ni kigeugeu jina lake tu utata mtupu, hajulikani hata dini gani Halima James
Kususia ingekuwa ishara ya kupinga mabaya yote yaliyofanyika ktk uchaguzi mkuu.Tatizo kubwa la wabongo hatujui siasa ni nini. Pamoja na yote yaliyotokea ktk uchaguzi CDM wangesusia hizi nafasi 19 za wabunge viti maalum ningewashangaa sana. Katika mapambano ya kisiasa eneo bunge ni muhimu sana katika kupaza sauti.
Ina maana chadema HAKUNA wenye akili Hadi kila kitu wafanyiwe na CCM? Kwani CCM wakiwatetea chadema wao hawana akili waache kusikiliza CCM wafanye Mambo yao ya saccos peke yao bila kutuma a akili za CCM?CCM ndio mnaowatetea kina Halima Mdee. Huyu Ni kigeugeu jina lake tu utata mtupu, hajulikani hata dini gani Halima James