Kiapo cha maadili cha wateule wa Rais kifanyiwe marekebisho; kiwe na kipengele cha kuridhia kushitakiwa endapo watashindwa kutimiza majukumu yao

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia viongozi mbalimbali wakiapa Mbele ya Raisi ktk kutumikia nafasi mbalimbali walizo aminiwa.

Lakini jambo la kushangaza na kustaajabisha baadhi yao huwa wanaenda kinyume na kiapo kwa kufanya mambo tofauti kabisa au wakati mwengine kutokufanya kabisa kile anacho takiwa kufanya.

Swali la kujiuliza ni;

1. Je? hawa wpaji huwa hawaelewi maana ya kiapo?

Inaonekana bado kuna tatizo kubwa la maadili ktk jamii yetu, walio wengi wanaapa kwa kuzuga tu na mara baada ya kiapo anaanza Kufanya ubadhirifu wa Mali ya umma, rushwa, kutokuwajibika n.k.

Viongozi wetu wa kidini wanalo jukumu kubwa la kuilea jamii ktk maadili mema, Uadilifu/maadili ni jambo lialopaswa litengenezwe na viongozi wa kidini kwa waumini.

Uadilifu ni hofu kwa Mungu ndipo unaweza kuwatendea binaadamu Haki, kama viongozi walio pewa dhamana watakosa Hofu ya Mungu kamwe hawawezi kuwatendea haki wananchi.

Kiongozi muadilifu ni yule mwenye chembechembe za kumuogopa Mungu, hivyo matendo yake kwa binaadamu wenzake yatakuwa mema.

USHAURI;
Kiapo cha maadili kinacho apwa na wateule wa Rais kifanyiwe marekebisho kiwe na kipengele cha ziada ambacho kitawafanya kila mmoja kutimiza majukumu yake kama ilivyo tarajiwa na Mkuu wa nchi na kwa manufaa ya wananchi kinyume cha hapo anaweza kushitakiwa.

Muwe na kitu cha kuwabana ili watimize wajibu wao, tusiwe tunabembelezana sana au kutumbuana.
 
Dawa ni katiba mpya mkuu kiapo hta waape asbhi mpka jioni bdo watakua majizi2
 
Mkuu katiba mpya haiwezi kuwa mwarubaini kama maadili ya watu ni ya ovyo, kuna baadhi ya sheria ndogo ndogo haziitaji kusubiria katiba mpya zinaweza kurekebishwa tu na mambo yakakaa sawa.

Kiapo cha maadili kinafaa kiwe na kipengele cha kushitakiwa kama utashindwa ku perform, isiwe kuachishwa.
 
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia viongozi mbalimbali wakiapa Mbele ya Raisi ktk kutumikia nafasi mbalimbali walizo aminiwa.

Lakini jambo la kushangaza na kustaajabisha baadhi yao huwa wanaenda kinyume na kiapo kwa kufanya mambo tofauti kabisa au wakati mwengine kutokufanya kabisa kile anacho takiwa kufanya.

Swali la kujiuliza ni;

1. Je? hawa wpaji huwa hawaelewi maana ya kiapo?

Inaonekana bado kuna tatizo kubwa la maadili ktk jamii yetu, walio wengi wanaapa kwa kuzuga tu na mara baada ya kiapo anaanza Kufanya ubadhirifu wa Mali ya umma, rushwa, kutokuwajibika n.k.

Viongozi wetu wa kidini wanalo jukumu kubwa la kuilea jamii ktk maadili mema, Uadilifu/maadili ni jambo lialopaswa litengenezwe na viongozi wa kidini kwa waumini.

Uadilifu ni hofu kwa Mungu ndipo unaweza kuwatendea binaadamu Haki, kama viongozi walio pewa dhamana watakosa Hofu ya Mungu kamwe hawawezi kuwatendea haki wananchi.

Kiongozi muadilifu ni yule mwenye chembechembe za kumuogopa Mungu, hivyo matendo yake kwa binaadamu wenzake yatakuwa mema.

USHAURI;
Kiapo cha maadili kinacho apwa na wateule wa Rais kifanyiwe marekebisho kiwe na kipengele cha ziada ambacho kitawafanya kila mmoja kutimiza majukumu yake kama ilivyo tarajiwa na Mkuu wa nchi na kwa manufaa ya wananchi kinyume cha hapo anaweza kushitakiwa.

Muwe na kitu cha kuwabana ili watimize wajibu wao, tusiwe tunabembelezana sana au kutumbuana.
Kutokuwepo clause ya kukubali kupelekwa Mahakamani haimaanishi ni defense ya kutishtakiwa kwa kuvunja sheria nyingine za nchi.

Mahakama haifanyi kazi kwa style hiyo, we mpige mtu ngumi halafu kaseme ulikuwa haujui Kama ni kosa under section 8 of penal code ndipo utaambiwa (ignoratia juris non excusant) yaani ignorance of the law doesn't stand as a defense to criminal liability
 
Kushitakiwa siyo mpaka uridhie. Iba mali ya umma halafu useme sijaridhia kushitakiwa. Kuna kosa la jinai NEGLECT OF DUTY.
 
Kutokuwepo clause ya kukubali kupelekwa Mahakamani haimaanishi ni defense ya kutishtakiwa kwa kuvunja sheria nyingine za nchi.

Mahakama haifanyi kazi kwa style hiyo, we mpige mtu ngumi halafu kaseme ulikuwa haujui Kama ni kosa under section 8 of penal code ndipo utaambiwa (ignoratia juris non excusant) yaani ignorance of the law doesn't stand as a defense to criminal liability
Lengo ni kuwabana vilivyo viongozi wetu ambao wanateuliwa lkn hawatekelezi majukumu yao vilivyo.
 
Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia viongozi mbalimbali wakiapa Mbele ya Raisi ktk kutumikia nafasi mbalimbali walizo aminiwa.

Lakini jambo la kushangaza na kustaajabisha baadhi yao huwa wanaenda kinyume na kiapo kwa kufanya mambo tofauti kabisa au wakati mwengine kutokufanya kabisa kile anacho takiwa kufanya.

Swali la kujiuliza ni;

1. Je? hawa wpaji huwa hawaelewi maana ya kiapo?

Inaonekana bado kuna tatizo kubwa la maadili ktk jamii yetu, walio wengi wanaapa kwa kuzuga tu na mara baada ya kiapo anaanza Kufanya ubadhirifu wa Mali ya umma, rushwa, kutokuwajibika n.k.

Viongozi wetu wa kidini wanalo jukumu kubwa la kuilea jamii ktk maadili mema, Uadilifu/maadili ni jambo lialopaswa litengenezwe na viongozi wa kidini kwa waumini.

Uadilifu ni hofu kwa Mungu ndipo unaweza kuwatendea binaadamu Haki, kama viongozi walio pewa dhamana watakosa Hofu ya Mungu kamwe hawawezi kuwatendea haki wananchi.

Kiongozi muadilifu ni yule mwenye chembechembe za kumuogopa Mungu, hivyo matendo yake kwa binaadamu wenzake yatakuwa mema.

USHAURI;
Kiapo cha maadili kinacho apwa na wateule wa Rais kifanyiwe marekebisho kiwe na kipengele cha ziada ambacho kitawafanya kila mmoja kutimiza majukumu yake kama ilivyo tarajiwa na Mkuu wa nchi na kwa manufaa ya wananchi kinyume cha hapo anaweza kushitakiwa.

Muwe na kitu cha kuwabana ili watimize wajibu wao, tusiwe tunabembelezana sana au kutumbuana.
Wakati wa awamu ya 5 hukuliona hili. Si ndiyo?
 
Kinacho nikera ni kuwaona baadhi ya watendaji/wateule wa Rais kushindwa kutimiza matarajio ya Rais na wananchi kwa ujumla, wakati amekula kiapo sambamba na kiapo cha maadili!!!
 
Na serikali iliyowaajiri ikifeli kuwawezesha ishitakiwe na hao waajiriwa au paweje mkatabani
 
Rais Samia alisema, namnukuu;
"UADILIFU UJENGWE KWENYE MIOYO"......."UADILIFU NDIO KILA KITU"

Nakubaliana na Mhe. Rais kuwa jamii yetu inatatizo la kukosa uadilifu, kwa maoni yangu naamini viongozi wetu wa Dini ndio wenye dhima kubwa ya kujenga maadili ktk nyoyo za waumini ambao miongoni mwao ndio viongozi wetu wa sasa na wabaadae.

Shime viongozi wetu wa dini.
 
Back
Top Bottom