Mara nyingi tumekuwa tukishuhudia viongozi mbalimbali wakiapa Mbele ya Raisi ktk kutumikia nafasi mbalimbali walizo aminiwa.
Lakini jambo la kushangaza na kustaajabisha baadhi yao huwa wanaenda kinyume na kiapo kwa kufanya mambo tofauti kabisa au wakati mwengine kutokufanya kabisa kile anacho takiwa kufanya.
Swali la kujiuliza ni;
1. Je? hawa wpaji huwa hawaelewi maana ya kiapo?
Inaonekana bado kuna tatizo kubwa la maadili ktk jamii yetu, walio wengi wanaapa kwa kuzuga tu na mara baada ya kiapo anaanza Kufanya ubadhirifu wa Mali ya umma, rushwa, kutokuwajibika n.k.
Viongozi wetu wa kidini wanalo jukumu kubwa la kuilea jamii ktk maadili mema, Uadilifu/maadili ni jambo lialopaswa litengenezwe na viongozi wa kidini kwa waumini.
Uadilifu ni hofu kwa Mungu ndipo unaweza kuwatendea binaadamu Haki, kama viongozi walio pewa dhamana watakosa Hofu ya Mungu kamwe hawawezi kuwatendea haki wananchi.
Kiongozi muadilifu ni yule mwenye chembechembe za kumuogopa Mungu, hivyo matendo yake kwa binaadamu wenzake yatakuwa mema.
USHAURI;
Kiapo cha maadili kinacho apwa na wateule wa Rais kifanyiwe marekebisho kiwe na kipengele cha ziada ambacho kitawafanya kila mmoja kutimiza majukumu yake kama ilivyo tarajiwa na Mkuu wa nchi na kwa manufaa ya wananchi kinyume cha hapo anaweza kushitakiwa.
Muwe na kitu cha kuwabana ili watimize wajibu wao, tusiwe tunabembelezana sana au kutumbuana.