Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa siyo lazima kusema hivyo bali ni hiyari.Rais na makamu wake walimalizia viapo vyao kwa kusema "so help me God", ukisikia "God" ni Mungu siyo dhahabu za Geita.
Kamanda mbwakachoka!So help me God,nini maana yake we pimbi unaekesha JF unapost upuuzi na mavi
biden aliiba pia, vinginevyoTanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Gold, Oil & DiamondsNa hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
GOD =Na hili neno kwenye Pesa note za marekani linalosema IN GOD WE TRUST linamaanisha nini? Wameliondoa neno Mungu kwenye kiapo lakini wakaliweka kwenye pesa why?
View attachment 1682347
Nilijua unakiweka na hicho kiapo lakin pia tambua sio lazma wafanane. Anayeandaa kiapo ni watu tofauti wenye mawazo tofauti.
Mtu ambae hayupo madarakani, hana polisi, hana jeshi, hana tume ya uchaguzi na pia hana maafsa usalama anaibaje kura?biden aliiba pia, vinginevyo
Mwaka 2015 tuliiba kura na Lowassa by LijualikaliMtu ambae hayupo madarakani,hana polisi,hana jeshi,hana tume ya uchaguzi na pia hana maafsa usalama anaibaje kura?
1. Lijuakali ni nani hata atumike kuthibitishia Taifa la Tanzania kuwa wapinzani waliiba kura?Mwaka 2015 tuliiba kura na Lowassa by Lijualikali
Ukijifunza ukafaham siyo mbaya, tuna tamadun na iman tofaut so usishangae hiloHata mimi sijasema lazima vifanane bwashee.
Niko kwenye kujifunza aina za viapo mbalimbali!
Kiukweli baada ya kile kiapo cha kumshirikisha Mungu kinachofuata ni madhambi mengi sana na uvunjifu wa sheria na kanuni mbalimbali.Tanzania unaapa kwa kusema "Mungu nisaidie" halafu unaiba kura!
Tango hilo mkuu kausha.So help me God,nini maana yake?