Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

"Eeh Mungu Nisaidie" au "So Help Me God" aliongezea mwenyewe kama freestyle George Washington alivyokuwa akiapa kwa mara ya kwanza, as a First Federal President, USA ilivyokuwa republic. Ikawa a non-official yet official phrase kwa viapo mbalimbali duniani; kama sign ya kuonyesha humbleness.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania Viapo kwa Kumtaja MUNGU ni KUMDHIHAKI Huwezi Kuapa Kuilinda Katiba na Kumtaka MUNGU Akusaidie Kisha Unafanya Kinyume Chake
Karibu dunia nzima wanasema "So help me God" lakini wanafanya uhuni kama kawa. Usiwe na wasi wasi, wote tu wakosaji.
 
Back
Top Bottom