Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

Nani anataka kuwa mkuu ma mkoa aishi kwa mashaka? Acha wakagombee maana mkuu haeleweki kesho ataamkaje
 
Swali: kipindi anagombea ubunge Jimbo la Biharamulo na kugaragazwa na Falesi Kabuye aliondolewa kuwa mwalimu wa sengerema sec?, Hizi ni tabia za watu wa ......
 
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.

Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.

Maendeleo hayana vyama!
Maigizo tu hiyo ni political masturbation.
 
Hivi miaka ya nyuma Wateule walikuwa hawagombei? Au mwaka huu imekuwa kufuru?
Walikuwa wanatia nia, kuchukua form na kuendelea na kazi zao. Wale wachache waliokuwa wanapenya mchujo ndo nafasi zao zilikuwa zinajazwa na walioangukia pua wanaendelea na nafasi teuzi.

Mwaka huu JPM kaamua kuwafurusha wote katika kile kinachoitwa level-playing field. Sasa hivi Bashite na Mujuni wote ni normal citizens, atleast on paper
 
Swali: kipindi anagombea ubunge Jimbo la Biharamulo na kugaragazwa na Falesi Kabuye aliondolewa kuwa mwalimu wa sengerema sec?, Hizi ni tabia za watu wa ......
Ualimu hakuteuliwa na mtu mkuu ile ni taaluma kwaio alifuata taratibu za utumishi wa umma kuomba likizo bila malipo
 
Back
Top Bottom