Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

Ualimu hakuteuliwa na mtu mkuu ile ni taaluma kwaio alifuata taratibu za utumishi wa umma kuomba likizo bila malipo
Mkuu mimi siamini kuwa hao waliokuwa wanajadili hapo juu kumshambulia mkulu eti hakutumbuliwa ualimu, siamini kama hawajui hilo nadhani walikuwa wanajitoa ufahamu tu.
Yani mtu unalinganisha nafasi ya ualimu na ukuu wa mkoa!
 
Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.

Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.

Maendeleo hayana vyama!
Magufuli ashuke chini kuna watu wana sifa nzuri tu kuliko hao wanasiasa
 
Back
Top Bottom