johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
huko wanapokwenda kugombea huyohuyo mkuu ndo mwamuzi wa mwisho wa hatima yaoNani anataka kuwa mkuu ma mkoa aishi kwa mashaka? Acha wakagombee maana mkuu haeleweki kesho ataamkaje
Hata mimi niliuliza hili. Ama kweli mtu akipata anajiona yeye ndo yeye na anasahau alikopita.Swali: kipindi anagombea ubunge Jimbo la Biharamulo na kugaragazwa na Falesi Kabuye aliondolewa kuwa mwalimu wa sengerema sec?, Hizi ni tabia za watu wa ......
Walikuwa wanagombeaNauliza tena miaka ya nyuma wateule walikuwa hawagombei?
Hivi miaka ya nyuma Wateule walikuwa hawagombei? Au mwaka huu imekuwa kufuru?
Swali: kipindi anagombea ubunge Jimbo la Biharamulo na kugaragazwa na Falesi Kabuye aliondolewa kuwa mwalimu wa sengerema sec?, Hizi ni tabia za watu wa ......
Maigizo tu hiyo ni political masturbation.Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama!
Walikuwa wanatia nia, kuchukua form na kuendelea na kazi zao. Wale wachache waliokuwa wanapenya mchujo ndo nafasi zao zilikuwa zinajazwa na walioangukia pua wanaendelea na nafasi teuzi.Hivi miaka ya nyuma Wateule walikuwa hawagombei? Au mwaka huu imekuwa kufuru?
Kipindi chote anagaragazwa alikuwa anarudi na kuendelea na kazi yake, Sasa nongwa lote Hilo la nini kwa watumishi?hahahahaha akakimbilia chato ππππ
Ubinafsi, kutaka kuabudiwa Kama angyopenda kuitwa na kina kangi..Hata mimi niliuliza hili. Ama kweli mtu akipata anajiona yeye ndo yeye na anasahau alikopita.
Wewe si mfagiaji hapo lumumba mbona unatuuliza Mambo unayopigia makofiπNauliza tena miaka ya nyuma wateule walikuwa hawagombei?
Ualimu hakuteuliwa na mtu mkuu ile ni taaluma kwaio alifuata taratibu za utumishi wa umma kuomba likizo bila malipoSwali: kipindi anagombea ubunge Jimbo la Biharamulo na kugaragazwa na Falesi Kabuye aliondolewa kuwa mwalimu wa sengerema sec?, Hizi ni tabia za watu wa ......