johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Enzi za Nyerere mkuu wa mkoa alikuwa ni mbunge kwa nafasi yake.Hivi miaka ya nyuma Wateule walikuwa hawagombei? Au mwaka huu imekuwa kufuru?
Mkuu mimi siamini kuwa hao waliokuwa wanajadili hapo juu kumshambulia mkulu eti hakutumbuliwa ualimu, siamini kama hawajui hilo nadhani walikuwa wanajitoa ufahamu tu.Ualimu hakuteuliwa na mtu mkuu ile ni taaluma kwaio alifuata taratibu za utumishi wa umma kuomba likizo bila malipo
Kwani sheria ya utumishi wa umma inasemaje?Ualimu hakuteuliwa na mtu mkuu ile ni taaluma kwaio alifuata taratibu za utumishi wa umma kuomba likizo bila malipo
Sio sababu ya kukosa uzalendo wa kutumikia wananchi. Sasa hivi Rc sio mbunge anatakiwa aridhike.Enzi za Nyerere mkuu wa mkoa alikuwa ni mbunge kwa nafasi yake.
Ila alilipwa mshahara wa RC na bungeni hakukuwa na posho ya " kukaa"
Nafagia nini?Wewe si mfagiaji hapo lumumba mbona unatuuliza Mambo unayopigia makofi😂
Magufuli ashuke chini kuna watu wana sifa nzuri tu kuliko hao wanasiasaNimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa.
Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio maana hao wote watakatwa kamati kuu!Sio sababu ya kukosa uzalendo wa kutumikia wananchi. Sasa hivi Rc sio mbunge anatakiwa aridhike.
Anashuka... Leo Mtendaji wa tarafa ya Kinondoni ameteuliwa kuwa DAS!Magufuli ashuke chini kuna watu wana sifa nzuri tu kuliko hao wanasiasa