Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

Kiarabu kinachotumika Safari Channel kinalenga nini?

[
="Hammer11, post: 51641552, member: 743724"]
Sio chuki hata wewe uislamu haukuhusu wewe mwarabu unashindwa kuwatetea babu zako wewe kutwa warabu warabu uislamu wenyewe uongo ety kuna bicra 72 ko mungu kazi yake kuumba tu bicra huko mbinguni huu si utoto
[/QUOTE]
لن يضركم الا اذى
Yaani "Hawatawadhuru ila maudhi tu"

Mtatuuudhi tu waislam lakini hamuwezi kutudhuru kwa maneno yenu
Enseleeni kusema
 
Sisi hatuwaudhi mm binafsi sìwez amini dini imekuja na jahazi hata kidogoo hizo dini bakini nazo mm hata nikifa nizikwe kiasili sio kidini
 
Usipotoshe.ORIGINAL YA ILE VIDEO NDO ILIKUWA NA SUBTITLES YA KIARABU.ulitaka wafute?
 
Kwa hiyo ni Waarabu wnaitazama Safari Channel
Kwanini wasitazame? Na wao ndiyo wenye ndege nyingi zinazokuja Tanzania kuliko nchi nyingine yoyote.

Kuna Emirates, kuna Gulf Air, kuna Oman Air, kuna Egypt Air, kuna Saudia Airlines.

Kwa leo hizo zinakutosha.

Unafikiri wageni wengi wanaokuja Tanzania na wenye fedha zao ni kina nani zaidi ya Waarabu ?
 
Walikuwa wakionesha hovyo baadhi ya makala kabla hata Samia hajawa Rais,japo simkubali lakini siwezi kumsingizia kila jambo baya.
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Ili wazanzibari waweze kuyaelewa matangazo.
 
Ni vitu vya kawaida sana kwenye Marketing hivyo labda kama kuna changamoto nyingine baina yako na wao ama wao wenyewe ambayo haupo tayari kuitaja hapa.

Kuna kitu kinaitwa SEGMENTING & TARGETING (Unaligawaje soko lako na umemlenga nani?).

Hao hawatangazi dini Fulani, lugha Fulani ama kubagua watalii wa namna Fulani lengo lao ni kuwafikia watu wote duniani bila kujali lugha zao, utaifa wao, udini wao n.k bali huangalia kuwafikia wote.

Hivi kwa mfano wewe hapo ungekuwa marketing manager/ Strategist wao ungetumia strategy ipi kuwafikia waarabu bila kutumia lugha yao na utamadumi wao inapobidi ili nao wajione ni part and parcel ya hiyo kitu?

Ni matumaini yangu ulileta mjadala ili uelewe ila kama ulikuwa na lengo tofauti sio sawa.
 
Kuna shida gani safari channel kutumia kiarabu?
Basi na ile muvi ya loyo tuwa angeenda kuivumbulia saudia ili tujue moja basi,yaani wazenji wanapenda waarabu sana😁😁😁🤔🤔🤔 amalize mda wake bhana
 
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.

Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.

Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).

Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa yaayolewa Kwa Kiarabu!

Nikajiuoizà hii imeanza lini?

Au Ndio paradigm shift to Middle East!
Yani chuki mbaya sana mpaka unafikia mtu Anajua uislam ni kiarabu kingekua kingereza usinge kuja hapa labda kwa kusifia
 
Hakuna kitu kama hicho.

Hii ndio Chanel yangu pendwa sana ninayo itazama.

Kwaasilimia kubwa yanayo elezwa nakuoneshwa niutangazaji wa vivutio vyetu na lugha inayo tumika kwa asilimia 99 ni kiswahili.

Labda kama ulikua ushajidunga konyagi ukawa unasikia kiarabu au kihindi.
Inakera sana kuona mtu anabisha kitu ambacho ni cha kweli.

Halafu hii siyo channel pendwa kwako bali unalazimika kuipenda maana free channel kama hulipii king'amuzi lazima hii itakuwa ndio channel yako.
 
Back
Top Bottom