Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

mozambiqueone

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
232
Reaction score
119
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.

Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
 
Izungushe kwenye biashara Hisa bongo hazilipi, waulize walionunua hisa za Vodacom.

Miaka ya nyuma hisa za TBL na TCC zilikuwa zinalipa ila sasa duh!

Anyway, jaribu bahati yako.
 
Izungushe kwenye biashara Hisa bongo hazilipi, waulize walionunua hisa za Vodacom.

Miaka ya nyuma hisa za TBL na TCC zilikuwa zinalipa ila sasa duh!

Anyway, jaribu bahati yako.
Hakuna bahati ishu Ni kufanya analysis ya kutosha. Bia na sigara watu wamepunguza kunywa. Pia smt afrika Mambo sio transparent kivile.
Ila uwekezaji wa viwanda vya cement saivi uko vizuri Mana tunaijenga mno nchi yetu na ujenzi utaendelea daima
 
unaweza fanya investment kwenye private business, ambayo inaensure 2x Ya Return Of Investment (ROI) on First Year then inagrow taratibu kadri ya muda unavyokwenda.....

if 'yes' tufanye mchakato Mkuu
 
We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo.
 
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.

Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
Nenda UTT huu ni (mfuko wa serikali) kawekeze ila #zingatia umepata maelekezo ya kutosha kabla ya kuwekeza# anza kwenye website yao UTT amis tanzania au fika ofisin kwao sukari house dar es salaam pia unaweza wapigia namba zao zipo kwenye website utakuja nishukuru baadae

[/I]
 
Nenda UTT huu ni (mfuko wa serikali) kawekeze ila zingatia umepata maelekezo ya kutosha kabla ya kuwekeza anza kwenye website yao UTT amis tanzania au fika ofisin kwao sukari house dar es salaam pia unaweza wapigia namba zao zipo kwenye website utakuja nishukuru baadae

Akiwekeza utt hizo 10m atapata gawio la lefu 88 Kila mwezi. Ni nzuri kwa hela ambayo inasubiri cha kufanya. Mm nimewekeza huko na kesho napata gawio langu la mwezi
 
We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo.

Acha uongo wewe et fixed inalipa [emoji28]
 
Back
Top Bottom