Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo.

Unakujua mambo ya I = PRT/100

Mbona umeongea uongo sanaaa

Kama compounded ni FV = PV ÷ (1+r)^n

Unavijua hivi vitu?

#YNWA
 
Back
Top Bottom