mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 232
- 119
Mimi pia nataka kupata hili somo la hisaSina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.
Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie
WelcomeMimi pia nataka kupata hili somo la hisa
Hakuna bahati ishu Ni kufanya analysis ya kutosha. Bia na sigara watu wamepunguza kunywa. Pia smt afrika Mambo sio transparent kivile.Izungushe kwenye biashara Hisa bongo hazilipi, waulize walionunua hisa za Vodacom.
Miaka ya nyuma hisa za TBL na TCC zilikuwa zinalipa ila sasa duh!
Anyway, jaribu bahati yako.
Bahati is when preparation meets opportunity I think.Hakuna bahati
....... Bia na sigara watu wamepunguza kunywa ......
Hakuna iyo riba ya 10% kwa 365daysWe achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo.
Nenda UTT huu ni (mfuko wa serikali) kawekeze ila #zingatia umepata maelekezo ya kutosha kabla ya kuwekeza# anza kwenye website yao UTT amis tanzania au fika ofisin kwao sukari house dar es salaam pia unaweza wapigia namba zao zipo kwenye website utakuja nishukuru baadaeSina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA.
Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
Nenda UTT huu ni (mfuko wa serikali) kawekeze ila zingatia umepata maelekezo ya kutosha kabla ya kuwekeza anza kwenye website yao UTT amis tanzania au fika ofisin kwao sukari house dar es salaam pia unaweza wapigia namba zao zipo kwenye website utakuja nishukuru baadae
UTT AMIS
UTT Asset Management and Investor Services (UTT AMIS) originated from the Unit Trust of Tanzania (UTT); re-assigned with the management of collective investment schemes from 1st October 2013.www.uttamis.co.tz
Kwa kweli kama ela inasubir Cha kufanyia hii ni nzuriAkiwekeza utt hizo 10m atapata gawio la lefu 88 Kila mwezi. Ni nzuri kwa hela ambayo inasubiri cha kufanya. Mm nimewekeza huko na kesho napata gawio langu la mwezi
We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo.
Acha uongo wewe et fixed inalipa [emoji28]
Utt ni wapi?Fixed hamna kitu. Nmb kwa 10m kwa mwaka wanakupa 540k per month ni km 47k. Utt kwa mwaka ni km 1.1M kwa mwezi ni km 88k. Benki fixed deposit hamna kitu. Mambo mazuri ni UTT