Ego is the Enemy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 8,201 Reaction score 16,246 Jan 10, 2023 #21 MKIBAIGWA said: Nunua hisa za nje sio za tz Click to expand... Huamini nyumbani ama wanaficha faida wawekezaji wanaambiwa faida ndogo wao wanabakiza kubwa
MKIBAIGWA said: Nunua hisa za nje sio za tz Click to expand... Huamini nyumbani ama wanaficha faida wawekezaji wanaambiwa faida ndogo wao wanabakiza kubwa
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 6,958 Reaction score 16,358 Jan 10, 2023 #22 Congo said: We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo. Click to expand... Unakujua mambo ya I = PRT/100 Mbona umeongea uongo sanaaa Kama compounded ni FV = PV ÷ (1+r)^n Unavijua hivi vitu? #YNWA
Congo said: We achana na mambo ya hisa. Kama wewe sio risk taker weka hela zako fixed deposit. Kwa 10m unapata 1m kila mwaka crdb. Hela yako haipungui. Ukioata 10m nyingine weka fixed deposit. Hivyo hivyo. Click to expand... Unakujua mambo ya I = PRT/100 Mbona umeongea uongo sanaaa Kama compounded ni FV = PV ÷ (1+r)^n Unavijua hivi vitu? #YNWA