Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaHahaah nikafikiri mmechoka bia na sprit huko bar sasa mnakunywa mafuta !!
unatakiwa kujua tank la gari yako lina ujazo wa lita ngapi, kisha uhesabu hizo bar na ugawanye, roughly utajua kila bar ni approx lita ngapiWanajamvi naomba mnisaidie. Hizi gauge za mafuta za kielektroniki, bar moja inawakilisha lita ngapi? Inanipa shida kufanya makadirio ya kiasi cha lita ninachokuwa nacho. Wataalamu nisaidieni.
Succeed boss wangu. Tank ni lita 50. Tank likiwa full bar huwa ziko 8. Ukigawa 50 kwa 8 inakuja kama 6.25. Uhalisia siyo. Bar ilibaki moja, alarm ikablink. Nilipoweka lita 5 ikaongezeka bar moja. Kwa kukadiria, tank lilikuwa na lita kama 6 na hivi. Lakini bar zikawa mbili. Kwa hiyo, kanuni ya ujazo wa tank kugawa kwa idadi ya bar, ni kama inagoma.unatakiwa kujua tank la gari yako lina ujazo wa lita ngapi, kisha uhesabu hizo bar na ugawanye, roughly utajua kila bar ni approx lita ngapi
kwa kawaida gari ikiwasha taa kuashiria mafuta kuisha huwa zimebaki angalau lita tano za kukuwezesha kusafiri hata 20km na zaidi. hili lisikusumbue ni kawaida kabisaSucceed boss wangu. Tank ni lita 50. Tank likiwa full bar huwa ziko 8. Ukigawa 50 kwa 8 inakuja kama 6.25. Uhalisia siyo. Bar ilibaki moja, alarm ikablink. Nilipoweka lita 5 ikaongezeka bar moja. Kwa kukadiria, tank lilikuwa na lita kama 6 na hivi. Lakini bar zikawa mbili. Kwa hiyo, kanuni ya ujazo wa tank kugawa kwa idadi ya bar, ni kama inagoma.
Lakini ikumbukwe kuwa kuna reserve ya mafuta baada ya gauge kuonyesha yameisha kabisa na red imewakaSucceed boss wangu. Tank ni lita 50. Tank likiwa full bar huwa ziko 8. Ukigawa 50 kwa 8 inakuja kama 6.25. Uhalisia siyo. Bar ilibaki moja, alarm ikablink. Nilipoweka lita 5 ikaongezeka bar moja. Kwa kukadiria, tank lilikuwa na lita kama 6 na hivi. Lakini bar zikawa mbili. Kwa hiyo, kanuni ya ujazo wa tank kugawa kwa idadi ya bar, ni kama inagoma.
Ahsante kwa uelimishaji mzuri.Lakini ikumbukwe kuwa kuna reserve ya mafuta baada ya gauge kuonyesha yameisha kabisa na red imewaka
Baada ya red light kuwaka hapo ujue kuna Lita 10 zimo kwenye tank
Hivyo usiogope kuendesha ila kwa sababu ya kulinda uchafu usinyonywe tunashauriwa wese liwemo juu kila wakati
Ni bora kujifunza ikifika robo tank unajaza au unajaziliza kwa mfuko wako ulivyo
Pamoja mkuuAhsante kwa uelimishaji mzuri.