Lobbing isiyo na faida sidhani. Ninachojua,,, nusu ya idadi ya wayahudi waliopo dunia wanaishi Marekani na nusu nyingine Israel. Wayahudi waishio USA humiliki viwanda, makampuni, na miradi mikubwa sana na tafiti kubwa kubwa. Ikiletwa hoja ya Israel kwa Marekani ni lazima hao ndugu kuteteana bila kujali vyama. Haitatokea USA kugoma kumsaidia Myahudi.Kuna rushwa iliyohararishwa katika nchi za wenzetu inaitwa lobbying ambapo makundi mbalimbali ambayo yana interest huchangia pesa katika kampeni za wagombea mbalimbali iwe wa urais au ubunge na kadhalika kuhakikisha kwamba viongozi hao wakiingia madarakani basi maslahi yao yatajaliwa
Israel lobby ndio lobby kubwa kuliko zote Marekani na ndio maana mnaona wayahudi wana influence kubwa katika siasa za Marekani
Hata sisi tukitaka haya mambo cha muhimu ni bajeti tu na subira na tutakachotaka kitokee kwa maslahi mapana ya nchi yetu kitatokea
Lobbying hila ushawishi? Nadhani lengo la mleta uzi ndio hilo; hata kama wanafanya Lobbying but nini kinacho washawishi watawala wa Marekani kua pacha na Israel? What's so special to Israel?Kuna rushwa iliyohararishwa katika nchi za wenzetu inaitwa lobbying ambapo makundi mbalimbali ambayo yana interest huchangia pesa katika kampeni za wagombea mbalimbali iwe wa urais au ubunge na kadhalika kuhakikisha kwamba viongozi hao wakiingia madarakani basi maslahi yao yatajaliwa
Israel lobby ndio lobby kubwa kuliko zote Marekani na ndio maana mnaona wayahudi wana influence kubwa katika siasa za Marekani
Hata sisi tukitaka haya mambo cha muhimu ni bajeti tu na subira na tutakachotaka kitokee kwa maslahi mapana ya nchi yetu kitatokea
Serikali yenyewe ya USA uongozi unaweza kukuta zaidi ya 50% Wana damu ya kiyahudi , tunawenza kuanzia hapabut nini kinacho washawishi watawala wa Marekani kua pacha na Israel?
Isralites secret code inside USA that is why USA is feared nationNaomba kujibiwa swali hili bila mihemko.
Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ?
Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani
Wanasiasa wa kimarekani kutoka Republican na Democrats wanaweza wasikubaliane katika mambo mengi katika siasa hasa wakati wa kampeni ila inapofika uhusiano na ushirikiano na Israel wote huwa kitu kimoja
jews own all property in america (walioshika uchumi wa marekan na matajiri marekan ni jews) j.rockafella,Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko.
Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ?
Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani
Wanasiasa wa kimarekani kutoka Republican na Democrats wanaweza wasikubaliane katika mambo mengi katika siasa hasa wakati wa kampeni ila inapofika uhusiano na ushirikiano na Israel wote huwa kitu kimoja
Jifunze zaidi kuhusu Epstein's role as a Mossad Agent. Ni zaidi ya P. DiddyNaomba kujibiwa swali hili bila mihemko.
Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ?
Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani
Wanasiasa wa kimarekani kutoka Republican na Democrats wanaweza wasikubaliane katika mambo mengi katika siasa hasa wakati wa kampeni ila inapofika uhusiano na ushirikiano na Israel wote huwa kitu kimoja
Sababu wamarekani wengi Wana vinasaba vya uyahudiNaomba kujibiwa swali hili bila mihemko.
Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ?
Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani
Wanasiasa wa kimarekani kutoka Republican na Democrats wanaweza wasikubaliane katika mambo mengi katika siasa hasa wakati wa kampeni ila inapofika uhusiano na ushirikiano na Israel wote huwa kitu kimoja
Inafikirisha 🤔Serikali yenyewe ya USA uongozi unaweza kukuta zaidi ya 50% Wana damu ya kiyahudi , tunawenza kuanzia hapa
Ile nchi sio democracy bali plutocracy (Wenye maamuzi ni Wenye hela)
Hii comment yako ilipaswa iwe imemaliza na kuufunga hu uzi .. usa ndo taifa linaloongoza kwa rushwa kwenye uchaguza kupitia hiyo AIPACKuna rushwa iliyohararishwa katika nchi za wenzetu inaitwa lobbying ambapo makundi mbalimbali ambayo yana interest huchangia pesa katika kampeni za wagombea mbalimbali iwe wa urais au ubunge na kadhalika kuhakikisha kwamba viongozi hao wakiingia madarakani basi maslahi yao yatajaliwa
Israel lobby ndio lobby kubwa kuliko zote Marekani na ndio maana mnaona wayahudi wana influence kubwa katika siasa za Marekani
Hata sisi tukitaka haya mambo cha muhimu ni bajeti tu na subira na tutakachotaka kitokee kwa maslahi mapana ya nchi yetu kitatokea
Ukimsikiliza Polepole unatapa sense kwamba na sisi tuna unofficial lobbiesHii comment yako ilipaswa iwe imemaliza na kuufunga hu uzi .. usa ndo taifa linaloongoza kwa rushwa kwenye uchaguza kupitia hiyo AIPAC