Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
Kama una kichwa kibovu pita mbali na huu uzi.
Napenda kutumia uzi huu kuunga Mkono kauli ya Mh Dr Samia Suluhu Hassan kuhusu suala zima la ukuaji wa uchumi kama ifuatavyo.
Inafaa ieleweke kuwa
📊 Tanzania vs Marekani – Uchumi kwa Mtazamo wa Ukuaji 🇹🇿🇺🇸
Ndiyo, uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi...
Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!
Naomba kujibiwa swali hili bila mihemko.
Ningependa kujuzwa ni kwa namna gani Wayahudi na raia wa Israel wana nguvu kiasi gani ndani ya marekani, kiuchumi na kisiasa ?
Treatment anayopata Israel ni ya kiwango cha juu sana ambayo hakuna taifa hapa duniani ina hiyo favour kwa marekani...
Kwa wale wenye ndoto kwamba Uchumi wa MAREKANI utaanguka watasubiri Sana
Projection bado Zinatabiri Bado USA itakuwa na Uchumi mkubwa duniani. Uchumi wa marekani mwaka 2075 utakuwa 56 trillion USD GDP, China litakuwa taifa la pili na GDP Yao itakuwa 44 trillion USD GDP na projection zinasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.