Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Katika kile kinachooneka uchumi wa Marekani kutegemewa kutofanya vizuri katika robo ya pili ya mwaka baada ya kusinyaa katika robo ya kwanza tangu aingie madarakani, Rais wa US, Trump ameonekana kukwepa uwajibikaji na kutupa lawama kwa mtangulizi wake Biden!