Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,051
- 51,217
Marekani vile vizazi vya watu makini vimeisha.
Mwisho wa ubora wa marekani ilikuwa administration ya Bill Clinton, baada ya hapo Marekani haikubahatika kupata mtu makini tena.
Aliyeanza kuivuruga Marekani ni Bush, Obama hakufanya lolote la maana, Trump ndio sifuri kabisa, nachoona hapa ni safari tu ya Marekani kuendelea kuwa Taifa la kawaida na sio tena Taifa tishio kiuchumi.
Na sio Marekani tu ni Ulaya nzima kwa ujumla, ni kwamba sisi wafrika hatujiamini tu ila kama tukiwa makini in 50 years to come tunaweza kabisa kuwa katika nafasi za kuamua nini kifanyike katika uchumi wa Dunia.