Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
sio faru ni ng'ombe tuHatari Sana
Aliporudi Chuo nahisi alikuwa anawaangalia wale Boys wa Chuo kama Faru maana ulimuweka kwenye Levels
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio faru ni ng'ombe tuHatari Sana
Aliporudi Chuo nahisi alikuwa anawaangalia wale Boys wa Chuo kama Faru maana ulimuweka kwenye Levels
Kasie katika ubora wakeHata nikidadavua, sikio la kufa huwa halisikii dawa.
Acha ibaki hivyohivyo...
Ishaisha na kubaki stori.
Mahaba Matata daima dumu kwa Kasinde.
Nilichoma kitita cha shilingi elfu kumi na mbili kutuma nauli na hakujaKatika harakati za ujana chuoni, kuna manzi nilikuwa namkubali balaa, nilikuwa najua ndio nitamuoa kabisa baada ya kutendwa na wa kwanza
Basi nilimuhudumia sana yule Demu kwa dhati kabisa.
Basi siku zote alikuwa anakuja Ghetto maeneo ya Sinza. Sasa kuna siku niliwaza nimpe the best moment ya mgegedo.
Nikafanya Research ya best Hotel pale Sinza nikaona pale Grand Villa enzi hizo inatamba balaa bado mpya mpya 2010+
Room tuu ilikuwa 80/90,000/= nikajilipua
Nikampeleka hapo Mtoto show yenyewe sikufurahia sana wala nini, maana Bikra ilikuwa haijatoka Vizuri.
Total costs ya room na vinywaji/Chakula usafiri ilikuwa kama 150,000/= TZS
Nilijishangaa sana why nimechoma Hela nyingi hivo.
Ila ishapita na tushaachana kila Mtu na mishe zake sasa
Je mdau mwenzangu wewe ni kiasi gani kikubwa kabisa ulitumia kwa mgegedo mmoja?
CC: rikiboy Samboko 13 mega pixel Mshana Jr Kasie @prondo GuDume Mrs Bishanga miss chaga Atoto Mzigua90 Khantwe