Kiasi gani kikubwa kabisa cha fedha ulichowahi kutumia kwenye kula au kuliwa tunda?

Mimi huwa naona huruma sana ,yaani mtoto wa mtu nitembee nae halafu nimuache bila hela ya pedi na supu? mtu unamuachia buku 5? inamsaidia nini?

Mimi nikitoka na mwanamke akinipa mambo gharama zipo hivi,

-Guest 25,000 hadi 30,000
-Vyakula 30,000
-Nauli kuja 20,000 kama sijamfuata au kama nimetangulia
-Nauli kuondoka 30,000 hadi 50,000

Yaani Siku moja 80,000 hadi 100,000

Akija kwangu,

-Nauli 20,000
-Chakula 15,000
-Nauli kuondoka 40,000
Yaani siku moja 75,000

Tukioeana sana basi
-Nauli 10,000
-chakula 15000
-Akiondoka 30,000
Yaani siku moja 55,000

ila maisha haya ,wakati demu wako haizidi hata 50,000 mkiamua kufanya yenu akija

Yaani sifanyi hayo mambo mara kwa mara kuogopa gharama , mtoto wa mtu naogopa sana kumkandamiza ni bora nibaki na ugumu wangu kwa mda
 
Nilichoma kitita cha shilingi elfu kumi na mbili kutuma nauli na hakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…