Kiasi gani Wazungu wametuacha kiteknolojia

Kiasi gani Wazungu wametuacha kiteknolojia

Hili ni jibu tosha. Mpaka leo hatuoni umuhimu wa lifti katika majengo yetu, nafikiri wala hatusongi mbele kujaribu kuwafikia, bali tunatokomea kusikojulikana, tunapoteza mwelekeo.
Ile statement ya lift ndio ilinifanya nielewe kwa nini tunarushiwaga ndizi.
 
Hao walikuwa wahuni tu.. Waliona wakoloni wanafaidi wakaona na wao wale!
Kosa kubwa walilofanya hawa wapigania uhuru mimi nawaita wapigaji ( kumfukuza mkoloni na kula wao) wangedai usawa yaani haki sawa ya kushiriki shughuli za uchumi wakawaacha tukashirikiana nao tungekuwa mbali sana
 
Kwanini mnapenda kuitolea mfano CHINA? Hivi huwa mnadhana maendeleo ya uchina yamekuja juzi eeh?
Tukipita njia walizopita wao tutahitaji miaka 500 kufika walipo leo.Tukiwaiga wao walivyofanya kamwe hatuta wafikia,kwani tutakuwa kuwa tunawafuata kwa nyuma.

Solution ni kutafuta njia yetu ya kufuata angalia nchi kama china na nchi za falme za kiarabu.
 
Hao walikuwa wahuni tu.. Waliona wakoloni wanafaidi wakaona na wao wale!
True wengi wao baada ya uhuru wakawa mabilionea wakiishi kikufuru kifalme ndani ya dhiki ya wengi kwa kuwaibia waafrika kuwafanya wawe masikini kuwauwa waafrika,kuwatendea maovu waafrika wenzao zaidi ya waliovowatendea wakoloni.Hata vita na ufukara Africa ni baada ya uhuru kabla ilikuwa nadra vita vya wenyewe kwa wenyewe
 
Kwanini mnapenda kuitolea mfano CHINA? Hivi huwa mnadhana maendeleo ya uchina yamekuja juzi eeh?

Tunaitolea mfano China kwasababu imejaribu sana kutumia uwezo wake wa ndani.Hatusemi kwamba tukianza kesho tu tutapata maendeleo.
 
Nitakufundisha kwan ukitaja teknolojia unataja maendeleo na maendeleo huwa hayachagui halal wala haram kuwa na akili japo kdg

Mkuu teknolojia toka karne ya 19 ndiyo maendeleo yenyewe. Teknolojia includes but is not limited to industry, farming, information and communication, transport and all other infrastructural advancement you think of. Almost everything is technology, hata matumizi ya mbolea ama dawa shambani au kwa mifugo ni technolojia. Halafu huo ujinga wa maendeleo hayachagui halali au haramu ndo unaonyesha limit ya uwezo wako wa kufikiri na kukubali kutawaliwa.
 
Back
Top Bottom