Risk manager
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,837
- 17,496
Kiatu cha 5000 kukifikisha tz kwa ndege ni usd 13 mpaka 14 na shipping agent exchange rate ni 2800 kwa dollar na si chini ya hapo Sasa 2800 x14 ni 39200, bado Kuna makato wakati nanunua kiatu cha 5000 na wakati nalipia shipping agent ambapo si chini ya 5000, ukijumuhisha na elfu tano ya mzigo na ukifika dar mimi nipo mkoani nitatumia elfu 10 kufikisha mzigo wangu au kama nipo dar nitatumia elfu tano hii ni nje ya nauli ya kufika kupokea mzigo.Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Hayo maeneo sijawahi kuyaamini kabisa😂Luhanga Mtipesa
Sio kwamba wakupimwa akili ni wale wanaosema huu uchuuzi ndio kazi zetu na zile creme de la creme (Bandari, Umeme, Kwenye migodi (white collar jobs) kwenye Utalii n.k. ni hatuwezi kwamba tuwaachie wengine wafanye ?Wanao unga mkono wachina kufanya biashara kariakoo dar es salam tanzania wakapimwe akili,
Kwamba Kariakoo ndio watanzania wanapata ajira; kwamba uchuuzi ndio imekuwa a pillar of our society ?Je umeangalia hawa watu waliopo (wananchi) na disposable income yao ipo vipi ? Akinunua hicho kiatu kwa gharama atapata kweli chenji ya kubaki kununua mkate au nyama ? Au leo useme mitumba isiwepo unadhani watu watatembea wamevaa au wengine wataanza kushona viraka na kuona kuvaa chupi ni anasa, watapata kweli hata pesa ya kununulia uturi au tutaanza kunukiana jasho ?; Mkuu usiangalie vitu kwa perception moja bali angalia vitu kwa perception tofauti na hapa watu wanachobishia sio wachina kufanya kazi kwa kuvunja sheria bali unafuu wa bei ni mkombozi kwaokutatokea athari kubwa sana kwa wazawa kwani licha ya kuwa wanalipa kodi kuwa kwa serikali yao ila watafunga biashara kwa kukosa wanunuzi,
Mkuu kwa dunia ya sasa ambayo nguvu kazi sio deal tena hizo trickle down hazipo; na hao unaosema walindwe sababu ya ajira sio kwamba ni viwanda au big employers bali ni wachuuzi ambao wanauza bidhaa hizo hizo za wachina; pia unaongelea mapato hivi ushajiuliza hata hayo mapato yanamsaidia vipi a common mwananchi ?!!! Kama issue ni watu waweze kuuza (wazawa) kwanini tuishie hapo tu si na WhatsApp nayo tuipige Ban sababu tunakosa sana mapato ambayo tungepata through TTCL (who cares kama imerahisisha watu kuongea na ndugu zao ughaibuni)matokeo yake serikali itakosa mapato,ajira zitapungua,litazaliwa kundi kubwa la uharifu kwani hao matajiri waliofunga biashara zao watakosa kazi za kufanya,na kwa vile wana connection kubwa basi watafanya kila mbinu kufanya uhalifu. Uhalifu na umasikini utaongezeka nchini.
Hawa wachina wafukuzwe.
Mkuu mimi I have a different perception wewe hata ukiamua mali yako upate kwa sumni uuze kwa laki tisa fair to you; hakuna tatizo kabisa sababu huenda wewe unachouza ni service yako na kauli na kama unaweza kuni convince nitoe laki kwa bidhaa ya sumni fair enough (sababu siwezi kupima gharama ya wewe kukaa pale na kuongea na mimi ) ndio maana tujiulize true value of a product; Ingekuwa tunauza vitu kutokana na true value nanasi linalochukua miezi sita na ghiriba kubwa kwa mkulima lisingeuzwa 500/=Kiatu cha 5000 kukifikisha tz kwa ndege ni usd 13 mpaka 14 na shipping agent exchange rate ni 2800 kwa dollar na si chini ya hapo Sasa 2800 x14 ni 39200, bado Kuna makato wakati nanunua kiatu cha 5000 na wakati nalipia shipping agent ambapo si chini ya 5000, ukijumuhisha na elfu tano ya mzigo na ukifika dar mimi nipo mkoani nitatumia elfu 10 kufikisha mzigo wangu au kama nipo dar nitatumia elfu tano hii ni nje ya nauli ya kufika kupokea mzigo.
Mwisho wa siku kiatu cha elfu tano nimekupata kwa kulipia elfu 55 au 60
Je nikiuza kwa 120k ni kosa?
Uneandika insha ndefu yenye visshiria vya pumba.Tatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Kwa hiyo hayo makato wanakatwa raia wa Tanzania tu, wachina hawakatwi?.Tatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Wapambane na hali zaoMwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Hisense fridge elfu 85 huku milioni moja na laki 2Wachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Then Rwanda watatuuzia wote soko la africa mashariki na kati...WANATAKA KUTULETEA ROHO ZA KIMASIKINI
WAENDE RWANDA WAONE
WAMEITA WACHINA WANATENGENEZA VITU HUKOO
Ngoja MCHina aanze kuuza viwanja. Kiwanja cha millioni mia mbili atauza kwa laki mbili tu 🤣hawa jamaa teknolojia yao iko juu hivyo basi mafundi seremala wajuandae , mafundi simu wajiandae, wafundi cherehani wajuandae,waalimu wajiandae, vinyozi wajiandae.
hakuna kitu kama hcho wanaopata faida ni hao mawinga ndo wanaoongeza bei , cardet 3000 ni hzo zinazouzawa Tsh 10000 kariakoo ambazo kwa jumla zinauzwa 6000, uzuri ni kuwa mchina atajaa kila angle ataathiri mpak kazi unayofanya , yaani kila kitu kitafikiwa tuu sio wafanya biashara tuuMwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Naomba u review back comment zingine nishajibu ikiwa huridhiki nenda kwa mchina, au nenda china ama agiza kazi kwakoKwa hiyo hayo makato wanakatwa raia wa Tanzania tu, wachina hawakatwi?.
Bora useme wewehakuna kitu kama hcho wanaopata faida ni hao mawinga ndo wanaoongeza bei , cardet 3000 ni hzo zinazouzqa Tsh 10000 kariakoo ambazo kwa jumla zinauzwa 6000
tatizo mnakaririshwa nionyeshe mtu aliyenunua kitu kwa 8,000 akauziwa kwa 80,000Uneandika insha ndefu yenye visshiria vya pumba.
Hiyo mselezo yangeambatana na tarakimu za gharama hata kwa kontena Moja, ungeonekana una hoja.
Vinginevyo, hakuna haja ya kununua kitu @ 8,000; unauza 80,000.
Haya bado ni maneno mengi huna ignoa cost nilizotumia kupata hiyo bidhaa ya 5000 unataka nikuuuzie kwa hiyo hiyo 5000 nini mana ya biashara yaani sioni faida hata nikiuza elfu Saba nani anarudisha cost nilizotumia ?.Mkuu mimi I have a different perception wewe hata ukiamua mali yako upate kwa sumni uuze kwa laki tisa fair to you; hakuna tatizo kabisa sababu huenda wewe unachouza ni service yako na kauli na kama unaweza kuni convince nitoe laki kwa bidhaa ya sumni fair enough (sababu siwezi kupima gharama ya wewe kukaa pale na kuongea na mimi ) ndio maana tujiulize true value of a product; Ingekuwa tunauza vitu kutokana na true value nanasi linalochukua miezi sita na ghiriba kubwa kwa mkulima lisingeuzwa 500/=
Issue yangu inakuja iwapo mimi sikulazimishi wewe kuniuzia bei unayotaka basi na wewe usinilazimishe mimi au kunizibia kununua pale ambapo kuna unafuu...; Give me a Choice.., Usitumie Uzawa wakati wewe unaniuzia, Wakati mimi Mzawa mwenzako unajua kabisa sina disposable income ya kununua hivyo vitu (kwahio ikija bei ndogo, huyu mwenye bei ndogo kwangu atakuwa mkombozi) na kama game likiwa kali huenda its about time tubadilishe game; badala ya kuuza raba ya mchina tuuze Katambuga ya mmasai au Safari Boot.. (kwa kuifanyia marketing made in Tanzania); Au tuachane na uchuuzi ambao hizo nguvu hatuna na tuwekeze kwenye Utalii ambao tunao au hata Nishati kwa kuwauzia wazio na maziwa na maporomoko kama sisi. Na badala ya kupiga kelele huku tu, basi na kule kwenye Nishati safi tunapoacha kutumia umeme wetu na kununua gesi kutoka ughaibuni ndio pakupigia kelele zaidi (impact yake ni nchi nzima na sio Kariakoo pekee); Au tunafanya hivyo sababu tunanufaika na uuzaji wa gesi za ughaibuni for the detriment ya wazawa wenzetu ?!!!
Nishati Safi: Kwanini Tunahimiza / Hamasisha kutumia Fedha za Kigeni katika Mapishi wakati tuna Mbadala
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy". Kwahio cha kujiuliza je ? Kuhamasisha matumizi ya LPG badala ya kuhakikisha...www.jamiiforums.com
Surehakuna kitu kama hcho wanaopata faida ni hao mawinga ndo wanaoongeza bei , cardet 3000 ni hzo zinazouzawa Tsh 10000 kariakoo ambazo kwa jumla zinauzwa 6000, uzuri ni kuwa mchina atajaa kila angle ataathiri mpak kazi unayofanya , yaani kila kitu kitafikiwa tuu sio wafanya biashara tuu