Hivi umesoma hata nilichokwambia ?!!! Let alone elfu 5 hata ukiamua uuze milioni tano hio ni haki yako wala sikupangii; wewe ndio unajua gharama ya muda wako na if people can buy, fair to you; cost sio pesa pekee na wewe ndio unajua gharama (overheads na muda wako)Haya bado ni maneno mengi huna ignoa cost nilizotumia kupata hiyo bidhaa ya 5000 unataka nikuuuzie kwa hiyo hiyo 5000 nini mana ya biashara yaani sioni faida hata nikiuza elfu Saba nani anarudisha cost nilizotumia ?.
Bei ni bei kutoka na availability na uhitaji kwahio narudia tena rudia kusoma nilichoandika mimi nimesema sikupangii bei hata ukitaka kuuza gari kama nyongeza mtu akinunua nyanya au kuuza trilioni kadhaa kwa kusema kwamba limebarikiwa na maji na barakaMbona umeficus na kiatu tu vipi kuhusu pikipiki na magari unaonaje gharama ya kuingiza hizo gari na pikipiki? Alafu nikuuzieje?
Aisee nasema rudia tena kusoma, nimesema tungekuwa tunaangalia a true value of a product nanasi lisingeuzwa mia tano (achana tu na overhead costs za pesa bali kuna muda na mahangaiko ya mkulima) na mwisho wa siku sababu ni perishable na yanakuja kwa msimu huenda akapata hasara asipate hata sumni hence anaweza kujikuta anauza hata mia mia ili kurudisha bei ya mbegu (ndio maana kila siku anaendelea kuwa chini); lakini sababu ni kasumba mtu ukiambiwa buku unasema hili dogo hivi punguza bana (lakini ukiambiwa upande lako mwenyewe, je utaweza) ? Je hio noti ya mia tano ni sawa na ghiriba alizopata huyo mkulima plus photosynthesis iliyotumika; je ni sawa na vitu ambavyo vinakuwa mass produced at a press of a button ? (utagundua hapo issue ni marketing na peception) hio Nike au Adidas ukitoa ile logo bei yake huenda ikashuka maradufu...Mkuu wewe hufahamu bishara, ukiyoa mfano wa nanansi kwani anauza Moja ? Si anayonmengi nanasi lshambani nikichukua kwa 300, mananasi elfu kumi nikqpiga hesabu ya faida ya 200 manake mwisho wa siku MAUZO yawe 500 kwa kila nanasi nauza jumla au kama ninreja auze 1000 n.k humo Kuna pesa ya usafiri, mlulinzi na any expense Sasa unataka nikuuuzie nanasi kwa 300 wakati nomechukua kwa 300 au 500 napata wapi faida?
Ebu rudia kusoma nilichoandika uone kama utajibu ulichojibu... narudia sentensi niliyosema Ad verbatimNdio mana mteja ndie anaamua na muuzaji ana maamuzi kwahiyo usifeve mteja zaidi angalia na muuzaji
Kwani hao wachina wa Kariakoo hawalipi hizo tozo ulizotaja wanapoleta mzigo Tz!?Tatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Unaskia, nna mchina wangu kaniuzia hii TV kwa laki 6 tu bila usafiri. Ukiweka na usafiri ni laki 2 na nusu.Na hapa bado amekupiga sana tu.
Hizo gharama zote, zinamwangalia mfanyabiashara mzawa tu au hata Mchina akiagiza container from China nae analipa hivo hivo?Tatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Tena Nasikia sio ulufu tatu ni 2850Sabufa za sea piano ni alfu tatu huku wanauza mpaka laki mbili😃
IZo kadeti na jinsi za elfu 20 na kiatu cha elfu 60 tunavvyouziwa na wabongo, wachina waliopo hapa nchini wanauza kwa bei gani.Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....
Ndg yangu niliweka mwanzoni nielezee vzr kila kitu nikavamiwa na wana jf wakitaka nirudi kijijini ikabidi nitulie.Kwani hao wachina wa Kariakoo hawalipi hizo tozo ulizotaja wanapoleta mzigo Tz!?
Wachina hao wenyewe huku wanauza vingi kwa Jumla na sio kimoja, wanakuwa km supplier hukuIZo kadeti na jinsi za elfu 20 na kiatu cha elfu 60 tunavvyouziwa na wabongo, wachina waliopo hapa nchini wanauza kwa bei gani.
Nitashukuru ukitupa na machimbo ya wachina waliopo bongo nasi tukajipatie bidhaa kwa bei nafuu
Mwanzisha Uzi naona habari katoa huko mtaani zaidi sana ana like tuuMachimbo ya wachina Yako wap , na sikukuu hizi watakua na punguzo , tofauti na wabongo ambao wao sikukuu ndo bei zinapaa kweli kweli Prakatatumba abaabaabaa
Kuna jamaangu anafanya kwa wachina kampuni kapuni ananiambia wana agiza vitu nje Ila wanakwepa Kodi hatare sana akaniambia alichojifunza kwao ni pamoja na kukwepa Kodi,Hizo gharama zote, zinamwangalia mfanyabiashara mzawa tu au hata Mchina akiagiza container from China nae analipa hivo hivo?
Ngoja tusubiri mwamba atupe hayo machimbo ya wachina wa bongo ya jinsi za elfu 3 ambazo wazawa wenzetu wanatupiga kwa elfu 20Wachina hao wenyewe huku wanauza vingi kwa Jumla na sio kimoja, wanakuwa km supplier huku
Sasa mtu anaamka anamfananisha supplier na mtu wa fremu au meza,
Siwezi kurudia kusoma title inatosha , tuletee bidhaa zako za elfu tano china utuuzie kwa bei hiyo hiyo.Hivi umesoma hata nilichokwambia ?!!! Let alone elfu 5 hata ukiamua uuze milioni tano hio ni haki yako wala sikupangii; wewe ndio unajua gharama ya muda wako na if people can buy, fair to you; cost sio pesa pekee na wewe ndio unajua gharama (overheads na muda wako)
Bei ni bei kutoka na availability na uhitaji kwahio narudia tena rudia kusoma nilichoandika mimi nimesema sikupangii bei hata ukitaka kuuza gari kama nyongeza mtu akinunua nyanya au kuuza trilioni kadhaa kwa kusema kwamba limebarikiwa na maji na baraka
Aisee nasema rudia tena kusoma, nimesema tungekuwa tunaangalia a true value of a product nanasi lisingeuzwa mia tano (achana tu na overhead costs za pesa bali kuna muda na mahangaiko ya mkulima) na mwisho wa siku sababu ni perishable na yanakuja kwa msimu huenda akapata hasara asipate hata sumni hence anaweza kujikuta anauza hata mia mia ili kurudisha bei ya mbegu (ndio maana kila siku anaendelea kuwa chini); lakini sababu ni kasumba mtu ukiambiwa buku unasema hili dogo hivi punguza bana (lakini ukiambiwa upande lako mwenyewe, je utaweza) ? Je hio noti ya mia tano ni sawa na ghiriba alizopata huyo mkulima plus photosynthesis iliyotumika; je ni sawa na vitu ambavyo vinakuwa mass produced at a press of a button ? (utagundua hapo issue ni marketing na peception) hio Nike au Adidas ukitoa ile logo bei yake huenda ikashuka maradufu...
Ebu rudia kusoma nilichoandika uone kama utajibu ulichojibu... narudia sentensi niliyosema Ad verbatim
Issue yangu inakuja iwapo mimi sikulazimishi wewe kuniuzia bei unayotaka basi na wewe usinilazimishe mimi au kunizibia kununua pale ambapo kuna unafuu...; Give me a Choice.., Usitumie Uzawa wewe unaniuzia, Wakati mimi Mzawa mwenzako unajua kabisa sina disposable income ya kununua hivyo vitu (kwahio ikija bei ndogo, huyu mwenye bei ndogo kwangu atakuwa mkombozi)
Naona mnatoa vilio kila konaHauna akili ya Biashara.hutoweza kuelewa
Ha haujui TARATIBU ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI
GAP LAKO LINAANZIA HAPO
JIFUNZE KWANZA PROCEEDURE ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI
KWANZA HAKUNA KIATU CHA DOLA 2
Kama kipo basi nendq uwe unanunulia china
Title ya nani ? Hii ndio inadhihirisha ni vipi hauna attention to detail; wewe unaongelea title aliyoleta mwingine wakati mimi kwenye post yangu mwanzo kabisa nimesema maneno haya...Siwezi kurudia kusoma title inatosha , tuletee bidhaa zako za elfu tano china utuuzie kwa bei hiyo hiyo.
Wewe hujazi?. Okay kama si wewe tulia sasaTitle ya nani ? Hii ndio inadhihirisha ni vipi hauna attention to detail; wewe unaongelea title aliyoleta mwingine wakati mimi kwenye post yangu mwanzo kabisa nimesema maneno haya...
"Mkuu mimi I have a different perception wewe hata ukiamua mali yako upate kwa sumni uuze kwa laki tisa fair to you; hakuna tatizo kabisa sababu huenda wewe unachouza ni service yako na kauli na kama unaweza kuni convince nitoe laki kwa bidhaa ya sumni fair enough "
Pia kwanini mtu aende China akalete wakati wachina wanaleta huku ? Hivi unajua hata ninachokiongelea au tumeamua tu kujaza server ?