Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Acha wachina wakamate soko ..nyie si ghalama za uendeshaji zinawaghalimu!
 
Sasa mbona wao ndio wahalifu wakubwa, Maana Kuuza bidhaa Mara 4 ya wengine ni uhalifu Kwa mlaji.
 

Unapoteza muda wako mkuu.

Usisumbuane nae.

Huyo ni idealist. Huwa anaandika paragraphs ndefu ila hamna kitu ndani.

Box tupu!
 
WaKinga unafikiri wanajenga vipi maghorofa? Akina Fred Vunja bei ndio zao
 
Wizo mwaka huu andaa shamba tulime.

Wachina wamevamia machimbo yetu.
Alokwambia hatulimi nani shemu,

Nshawaambia mje kununua chakula Cha samaki vipo hamtaki kuja ttzo ni kuona wenzenu waanguke mfanye sherehe πŸ˜‚

Tena Kuna wapuuzi badala ya kuhangaikia matumbo yao wapate kupishana chooni kutwa kuhangaika na watu wa kariakoo,

Huko Woolworth, home city mbn watu hawalii chagua unapoona panafaa, over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…