Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Hao wanauza wabongo wengi ni rejareja mm nilizungumzia zaidi supplierMchina anaeuza bidhaa hiyo hiyo kwa bei nafuu Kariakoo halipii hizo gharama ulizoweka?
Msililie wafukuzwe wachina sasa ni free trade, globalization ...
Siyo enzi za Ujamaa.
Hujielew, sijaja dar es salaam kukuonea huruma, ukiweza pita kushoto, usiniletee nuksi hapa na hujalazimishwa.... Mshenzi yourselfPamoja na upupu woote ulioandika hapa ndio uuze cadet shs 27,000 na umenunua shs. 3,000.
Niliagiza Hisense TV inch 75 jumla ya gharama zote haijafika hata milioni. Wewe unauza eti 2,200,000. Shenzi kabisa.
Nakuelewa, una maana kuwa bidhaa zile ni high quality, hivyo not affordable kwa Watanzania walio wengi. Lakini je, hii quality inayolewta huku kwetu, unaona kuwa ndio haswa sahihi. Unataka kusema kuwa sisi Watanzania huku ndio wa kuletewa malonya lonya. Hakuna uwezekano wa kuboresha hiyo quality? Lazima inawezekana , watu wamekuwa wabinafsi tu na wenye roho mbaya.sasa hizo bidhaa zinazo kwenda europe zikiletwa bongo atanunua nani?
Ni rahisi tu mkuu.wachina wanachukuwa viwandani, tena mali kauli.
1.Tunapokea mzigo wenye uzito wowote hata chini ya kilo mojaMaswali:
1. Mnapokea mzigo MINIMUM kuanzia Kg ngapi ?
2. Malipo yenu ni mzigo ukifika Dar au mkishupokea nyie huko China kutoka kwa Supplier wangu?
3. Mizigo mepesi ya kuja kwa ndege wastani ni siku ngapi inanifikia mkononi? Na kama ikifika Dar siye tusioweza kuja mjini mna deliver mpaka tulipo?.
4. Ishu ya Kodi inakuaje?
Nakuelewa, una maana kuwa bidhaa zile ni high quality, hivyo not affordable kwa Watanzania walio wengi. Lakini je, hii quality inayolewta huku kwetu, unaona kuwa ndio haswa sahihi. Unataka kusema kuwa sisi Watanzania huku ndio wa kuletewa malonya lonya. Hakuna uwezekano wa kuboresha hiyo quality? Lazima inawezekana , watu wamekuwa wabinafsi tu na wenye roho mbaya.
Unafikiri mbongo asilimia kubwa wanauwezo wa kununua kiatu au nguo quality ya juu .......China vitu vingi fake quality ya hicho kiatu ni ya chin na wachina ni watu wa ku kopi sana
Mbwa mkubwa, winga mshamba wewe ibia wajinga wajinga hao pumbaf. Na ni vizuri umesema "umekuja Dar es salaam" unaonesha kuwa wewe ni wakuja na ulivyo mshamba unataka kupambana na sisi born town hapa.Hao wanauza wabongo wengi ni rejareja mm nilizungumzia zaidi supplier
Lakini wale wa kwenye meza na maduka ndo wanauza bei kubwa, lkn supplier wa hapo kariakoo akiwa mbongo au mchina hamuuzi ghali hivyo,
Hujielew, sijaja dar es salaam kukuonea huruma, ukiweza pita kushoto, usiniletee nuksi hapa na hujalazimishwa.... Mshenzi yourself
Mambo si ndo haya bwana๐Kuna cement za kichina zinakuja juu sana sokoni bila shaka nazo bei ni ya maandazi.
Mbwa mwenyewe, una u born Twn gani ungekuja kulia kuuziwa kiatu ghali ? Mpumbavu mmoja usiye na akili,Mbwa mkubwa, winga mshamba wewe ibia wajinga wajinga hao pumbaf. Na ni vizuri umesema "umekuja Dar es salaam" unaonesha kuwa wewe ni wakuja na ulivyo mshamba unataka kupambana na sisi born town hapa.
Mbingu Rondo chiwachiwa tandale mikungu ya ndizi mpaka mia TanoHata mkungu wa ndizi Tukuyu Mbeya au Mbingu Morogoro ni Tsh 2000, wakati mkungu huo Buguruni ni Tsh 17000!
Hiyo inaitwa Market Economy!
Wachina wasifukuzwe walete ushindani!
BTW, Trump hili la Wachina limemshinda akaona atumie nguvu tu!
Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....Uzi huh umenifumbua macho ngoja niwatafute wachina tuyajenge
Kweli umechafukwa mpk ashuo umeiweka ๐น๐น๐นMbwa mwenyewe, una u born Twn gani ungekuja kulia kuuziwa kiatu ghali ? Mpumbavu mmoja usiye na akili,
Born gani kwanza kuzaliwa dar nako u born una umatako mwingi *****
Dar ilikuwa shamba, uone ambavyo huna akili, nimetokea kijijini Tena shambanii nikaja dar,
Mimi sio winga mzee labda wengine,
Uzuri sifanyi hata kariakoo kutwa kustukia watu wanafanya nn kama umeshikwa matako, mbwa mmoja usiye na akili,
Huna mbele wala nyuma umefubaa hapa ety me born t, ungekuwa mjanja usingelizwa na bei ya kiatu.
Lastly funga safari nenda china, jina lenyewe inaonekana wadudu washapanda kichwani meza dawa zako ashuo ๐ Lamomy pita huku zimamoto bado tupo kazini ๐
Hapo sawa sawia.1.Tunapokea mzigo wenye uzito wowote hata chini ya kilo moja
2.Malipo hufanyika baada ya mzigo kufika Dar
3.Kwasasa tunatumia Ethiopian Air ambayo mzigo ukitoka china utaupata baada ya siku tatu, na tuna safari mbili kwa wiki yaani Kila jumanne na ijumaa
4. Pesa ya kulipia mzigo/kilogram inahusisha Kila kitu (custom clearance) hutotozwa pesa ya ziada .
WhatsApp/calls +255 755 18 48 73
Karibu sana bossHapo sawa sawia.
Bora Wachina warudi Kariakoo,kumbe ndio maana kulikuwa na Yale makelele ya matapeli na madalali wa kibongo,hovyo kabisa.Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa sana wakiuza jumla.
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa Kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa China wameanza kuonesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....