1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,198
- 14,372
Kwamba viwanja anavitengeza kutoka kwenye atmosphere ? Ingawa hapa ndio kuna point ya maana issue ni kwamba awezaye kufanya jambo kwa gharama nafuu zaidi na afanye wengine tukafanye yale ambayo tuna uwezo wa kuyafanya kushinda yeye; case in point hizo ardhi na viwanja ambavyo sisi tuna uwezo wa kupata lease kwa urahisi kuliko yeye...Ngoja MCHina aanze kuuza viwanja. Kiwanja cha millioni mia mbili atauza kwa laki mbili tu 🤣
Kweli kabisa😀😀😀 baadhi ya watu ni wajinga mno. Europe/USA quality hainunuliki bongo.
Panda ndege uende china.Wapi huko?
Ningeweza ku_search hata kwa simba wa bahari ila nitatoka nje ya mada, kikubwa ni hivyo nilivyoandika.Mzee unajua CMB 1 Zinakaa Brenda PC ngapi na gharama ya kusafirisha hiyo CBM 1 ni kisasi gani? Kodi ya frem na store ni bei gani. tafuta majibu ukipata rudi hapa tupatie marejesho pia.
Afu tatuKwani wachina Cadet wanauza bei gani?
😀😀😀Afu tatu
China naifahamu kama wewe unavyofahamu kijijini kwenu.Panda ndege uende china.
Kumbe naongea na mtu wa kijijini. Kwaheri.Mbwa mwenyewe, una u born Twn gani ungekuja kulia kuuziwa kiatu ghali ? Mpumbavu mmoja usiye na akili,
Born gani kwanza kuzaliwa dar nako u born una umatako mwingi *****
Dar ilikuwa shamba, uone ambavyo huna akili, nimetokea kijijini Tena shambanii nikaja dar,
Mimi sio winga mzee labda wengine,
Uzuri sifanyi hata kariakoo kutwa kustukia watu wanafanya nn kama umeshikwa matako, mbwa mmoja usiye na akili,
Huna mbele wala nyuma umefubaa hapa ety me born t, ungekuwa mjanja usingelizwa na bei ya kiatu.
Lastly funga safari nenda china, jina lenyewe inaonekana wadudu washapanda kichwani meza dawa zako ashuo 😏 Lamomy pita huku zimamoto bado tupo kazini 😂
Tulia mzee njoo tunywe chai acha mambo yako, na uje uchukue viatu ntakufanyia bei poa 😂Kumbe naongea na mtu wa kijijini. Kwaheri.
wabongo ni wajinga huwezi amini zinatofautiana buku na cement ya nyati na dangoteKuna cement za kichina zinakuja juu sana sokoni bila shaka nazo bei ni ya maandazi.
HahahaWachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Wachina wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
wake tu,hawa wabongo wenzetu wanatuzinguA sana.hisense tv inchi 50 china ni laki Moja tu huku wanatuuzia milioni Moja na nusu
Na vijana maskini washamba wanaanza kumuona huyo jamaa ana akili sana ..Utasikia yule jamaa anajua sana kumbe anaumiza wenzie .
Wauzaji wa bongo,wanataka tuendelee kunyonywa tu,ilhali MCHINA kaja kutukomboa.
Na sisi raia tunataka watumishi wa kichina ,wako shapu sana kwenye kazi.Wauzaji wa bongo,wanataka tuendelee kunyonywa tu,ilhali MCHINA kaja kutukomboa.