Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Hawa majamaa yanazingua kinoma sasavi nikitaka kitu naagiza tu china Tena Kwa njia ya ndege chap tu,
Tafadhali mpatie supplier wako address yetu
OUR CHINA ADDRESS
PM AIR CARGO

广州市越秀区环市西路202号之三第十一层1148铺(美博体育用品市场)-Patrick 19584669781



WhatsApp /call +255 755 18 48 73
 
Wengi hawawezi kukuelewa
 
Kuna wale wachina wa citi store,wanakuwaga na ofa baadhi ya siku ukifika dukani kwao chochote utakachokiona ni bei yake ni elfu 3
 
Na vijana maskini washamba wanaanza kumuona huyo jamaa ana akili sana ..Utasikia yule jamaa anajua sana kumbe anaumiza wenzie .

Mtaji wa Wanyonyaji wa Waafrica ni Ujinga. Ujinga wenye majina mengi utaskia ndo “Utamaduni wetu” “Mila zetu” au ndo “desturi yao” shubaamit!!

Werevu hawasikilizwi, hawapewi platforms za kuwafikia watu wengi.. Mwerevu akizungukwa na wajinga anakua hatarini.
Ila ni kipindi cha mpito Mkuu, it gonna get ugly before it becomes beautiful
 
Hata mkungu wa ndizi Tukuyu Mbeya au Mbingu Morogoro ni Tsh 2000, wakati mkungu huo Buguruni ni Tsh 17000!

Hiyo inaitwa Market Economy!

Wachina wasifukuzwe walete ushindani!

BTW, Trump hili la Wachina limemshinda akaona atumie nguvu tu!
 
Hauna akili ya Biashara.hutoweza kuelewa
Ha haujui TARATIBU ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

GAP LAKO LINAANZIA HAPO

JIFUNZE KWANZA PROCEEDURE ZA KUMILIKI BIASHARA MJINI

KWANZA HAKUNA KIATU CHA DOLA 2

Kama kipo basi nendq uwe unanunulia china
 
Unazoongea hapa bado hazina uhalisia wa gharama uuze mpaka mara mbili yake...Kama utabisha basi itabidinikupe maelezo zaidi.
Kumbuka kiatu hicho anayeagiza hapa Tz labda ni mtu wa duka au supplier kwa bongo, ana bei yake ambayo ni affordable tuu,

Ttzo ni wanaochukua kwa supplier huko kariakoo na wengine

Nimeongea hivyo kwa kuwa kasema kiatu kinauzwa china hivi,

Nieleweshe pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…