Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
hakuna kazi ngumu yoyote...Hawa silent ocean wanacharge mzigo kwa CBM moja 350-450 USD na hapo imecover kilakitu kuanzia usafiri,kodi,kushusha ,warehousing n.k na faida kibao wanapata... Ndio itakuwa hao wanaofunga wenyewe container la 20ft/40ftTatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
Unajikuta unatembea na raba yako umenunua 70k unariiinga mwenyewe, unakuta mchina anakuchora tu Anasema hiiiiiiiiiiiiiChinese people, kazieni hapo hapo mambo ya kuuziana Raba 70,000/- yakome
Alibaba unanunua sh 3000-5000 usafiri na kodi mpk bongo sh 2000...jumla 7000 tu hawa ndigili wanakuja kukuuzia mara kumi yake ...Unajikuta unatembea na raba yako umenunua 70k unariiinga mwenyewe, unakuta mchina anakuchora tu Anasema hiiiiiiiiiiiii
leo hii nikiagiza pikipiki kutoka china inafika hapa na kila kitu kwa sh 1.5M inabaki usajili tu ila nyinyi wabongo mnakuja kutuumiza kwa sh 2.8-3.3M.Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.
Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.
Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.
Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING
Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.
Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Unapoteza nguvu bure kuwaeleza, jibu ni moja wapande ndege wakanunue China kwa 5000.Tatizo linakuja hapa
Mtu katoa hela kwa supplier katengeneza mzgo ukawa wa kutosha,
Sema moja, Purchasing price
Kumbuka mzgo upo china sio mwenge, anatumia njia gani ya kusafirisha ? Kama ndege au maji,
Tuchukulie kontena moja tuu la ft 20
Atalipia Kodi, customs, hapa zipo nyingi nyingi inategemea na uagizaji wako sasa
Atalipia wharfage charges kama inahitajika
Atalipia shipping line charges,
Atalipia clearing fees wakati wa kutoa kontena,
Atalipia usafiri bandarini kwenda dukani au stores,
Atalipia washusha mzgo ndani ya kontena na kuipanga,
Kumbuka anamlipa mchina kwa USD hata kama ana CRDB USD kuzipata dollar alinunua kwanza CRDB TZS Kuna makato,
Kuna makato wakati analipia mzgo
Siwezi andika vitu vyote ni kazi Tena sio nyepesi
SanWalitumia fursa!
Upo sahihi kabisa mkuu.Wabongo wezi sana Bora wachina wajae ili tupate bidhaa kwa Bei halali na hii itasababisha hata makodi ya mafremu kariakoo kupungua
Wanaongea tuu mfano kariakoo we ndo supplier umeagiza sisi tutachukua kwako,Unapoteza nguvu bure kuwaeleza, jibu ni moja wapande ndege wakanunue China kwa 5000.
Kongole sana kwa ujumbe mzuri sana.Bongo tunaumizana kisa njaa, alafu shangaa mtu akishapata mamilioni ya fwedha kwa njia ya haramu baada ya muda nafsi inaanza kumsuta unashangaa anaanza kugawa hovyo hovyo.. waliokulia kanisani utawaona wanavunga kutoa sadaka.. wale wenzangu na mm ndo kutwa kuzungusha bia bar, wasio na dini utaskia wanalisha watoto yatima etc..
Ila ukimuangalia anaetoa hizo sadaka hafananii na mtu mwenye hela, yaan uso hauna nuru, Body language bado ya kimaskini.. unagundua tu huyu hajawa blessed naturally, anatoa sababu keshapata alichokua anakitaka akahisi kitampa furaha saizi anateswa na hatia..
Just Earn a decent income, an income that is rightfully yours then rejoice in every way possible!!
To be free in life is to detach yourself from it, and not to succumb in its material thingz!
Kudadeki! Nimetema yai la Mbuni, kwa hisani ya watu wa Marekani!!
Hata sasa mnafurahia mnavyotunyonya enyi wakoloni weusi kwa kutuuzia kitu cha buku kwa 50k?.Kuna siku supermarkets na supply chain yote ya nchi hii ITASHIKILIWA NA WACHINA.
Hiyo siku ikifika mtakuwa kama mbwa kwenye nchi yenu na mtalia na kusaga meno maana WACHINA ndo watapanga bei za viberiti na condoms.
Kwa kifupi mtatawaliwa tena kama ambavyo hali ilikuwa kabla ya 1961. Matajiri wakubwa watakuwa wachina na wata-influence hadi mnachokula maana chain yote watakuwa wao tu.
Wachina watakuwa wana-fund kampeni za wanasiasa, watakuwa na lobbying groups zenye nguvu na watapanga hadi Rais awe nani. Maelekezo ya kuhusu nani awe Rais yatakuwa hayatoki Dodoma, yatatoka BEIJING
Mwafrika ni kama kenge. Huwa haamini kitu mpaka kimkute.
Ukoloni sio lazima watu waje na vifaru. Just control the supply chain and you are good
Ni kweli usemacho kwa kweliiMwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana kariakooo, na walizunguka media mbali mbali kuonyesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua...
Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua bidhaa? Wakaamua kuja kufanya utafiti wakakuta majamaa yanapata faida mara 4 na bei waliyochukulia, yaani ukiachana na Kodi n.k bado faida wanapata kubwa saana wakiuza jumla....
Mfano nimeona kiatu Cha dollar 2, hapa kariakoo naambiwa ni 60,000/= kwahiyo nikawa nashangaa, yaani unataka kusema Kodi pamoja na usafiri ni zaidi ya 40,000/=.
Cadet za kiume jeans wanauza 20,0000/= wakati china ni 3000/=... Ngoja waje wawanyoooshe.
Wafanyabiashara wa china wameanza kuonyesha bidhaa halisi na bei halisi mtandaoni jambo ambalo limeathiri Moja Kwa Moja mifumo ya kibiashara ya kimataifa, hususani kweli AliExpress, temu, shein n.k ....