Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

Vipi wamekutaiti unahitaji msaada? 😹😹
Ety wanafurahi nirudi kijijini njaa ilishanitesa mno sikurudi sembuse mchina

Yaan muuziwe vitu bei rahisi tuu, afu sioni viti ghali kkoo mimi yaan wabongo bhn akili za panzi baadhi yao

WALE WOTE MLIO QOUTE NIRUDI KIJIJINI NENDENI CHINA KAMA RAHISI MKAFUNGE MA KONTENA HATA LOOSE CARGO MJE NAZO HAPA!

MNAFIKIRI WATU WANAENDA KUPEWA HELA BURE AU ? AU KUNA KIWANDA CHA MZAZI WA MTU AU CHA USHIRIKA ......

HAO WACHINA MNAOWAKUMBATIA WALISHAKUWEPO TZ NA HUKO KKOO MAGUFULI AKATIMULIA MBALI, SIO KWAMBA NI WAGENI MJINI, LABDA NYIE NDO WAGENI MJE TARATBU

MTU MZIMA WAKAA MONETARY DOCTOR NIRUDI KIJIJINI, HUNA AIBU NJAA YAKO, ULIPO PANGU PAKAVU, HUKAI MOJA WALA MBILI FANYENI KAZI MIMI HATA KARIAKOO SIPO ILA MNAVYO NIANDAMA UTAFKR MM VUNJA BEI

NYIE KASAULENI MITUMBA ILALA BOMA, AFU MBONA KARIAKOO UNA CHAGUO LA KUNUNUA UNAPOTAKA NA KWA YOYOTE,

KAMA RAHISI NENDENI HATA NAIROBI MKANUNUE MITUMBA MJE MTURINGISHIE AU MUENDE ZANZIBAR AMA UGANDA VITU BEI RAHISI

MUDA WA KUSHINDANA NA WATU WAZIMA SINA WAKUU

NILALE SASA
 
Ni kipindi gani wazawa waliwahi shika uchumi wa nchi hii?? Saivi maelekezo ya nani awe rais yanatoka wapi?

Ngoja wachina watoe somo la ujasiriamali kwa vitendo
 
Hapa umeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…