Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

Viatu safi kabisa.

Mume anavaa 44/45 na yeye. Ningekuwa nishakutumia pesa faster, si bargain mimi
Itabidi shemeji tumpeleke kwa fundi apunguzwe miguu😂

Ila sisi wenye mamiguu makubwa huwa tunakosa saana viatu vizuri na ukikipata bei yake ni moja ya sababu ya vidonda vya tumbo.
 
Kiatu nimekipenda sana na ningekinunua kwa bei hiyo. Lakin sasa sijui navaa size gani
 
Itabidi shemeji tumpeleke kwa fundi apunguzwe miguu[emoji23]

Ila sisi wenye mamiguu makubwa huwa tunakosa saana viatu vizuri na ukikipata bei yake ni moja ya sababu ya vidonda vya tumbo.
Nmemuonesha picha kavipenda kweli. Na hivi tayari keshaviagiza kuna rafiki yake yupo Turkey.

Tena hapa umeweka kwa bei y kutupa. Naweza kusema ni half ya price yenyewe
 
Halafu Kuna mduwanzi anasema sijui bei kubwa, sijui kimeenda na kurudi 😂🤣
 
Nataka kujua kwann siku hizi watu wananunua sana vitu turkey? in general imekuwa kama trendy hivi nini kimepelekea maana zaman haikuwa hivi

Back
Top Bottom