makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
- Thread starter
- #61
Nishapata mzeeKwani haujapata mnunuaji tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishapata mzeeKwani haujapata mnunuaji tu
Size ndi ndogo kwake.Kopa ununue apate present mume
Kusema za ukweli vitu vyao vingi ni vizuri kwa design na umadhubuti pia.Nataka kujua kwann siku hizi watu wananunua sana vitu turkey? in general imekuwa kama trendy hivi nini kimepelekea maana zaman haikuwa hivi
Thank youKusema za ukweli vitu vyao vingi ni vizuri kwa design na umadhubuti pia.
Na zamani nafkiri watu wakiogopa bei. Ila saivi wanaona kawaida tu. Na ukute zamani kufanya biashara Turkey/Tanzania ilikuwa gharama ila kwa sasa fursa za biashara zimefunguliwa kwa kiwango kikubwa so watu wengi wanapata kwenda kuleta bidhaa kwa gharama za kawaida tu.
Nchi nyengine yenye vitu vizuri ni Suudia. Kule nako kwa masuala ya outfits hawabahatishi
Kwamba Pesa is directly proportional to mguuMaisha haya bana! Hayako fair, Kwamba wenye pesa mfuko wa shati naona wote wanasema kama ingekuwa size 44, 45, 39 au 40 wangefanya muamala fastaa, sisi ambao kinatutosha ndio wale tuna 30,000[emoji848]
Hata mimi mguu wa kushoto ni mrefu kuliko wa kulia.hii miguu yetu changamoto sana. kama mimi nahisi wa kushoto mkubwa zaidi maana nikivaaga 44 upande mguu wa kushoto hunibana.
ila 45 ndio inafiti kote vzr.
Wabongo tuna tabia ya kuigana, we tizama hata magari, likianza kuingia toleo fulani basi litasambaa saana.Nataka kujua kwann siku hizi watu wananunua sana vitu turkey? in general imekuwa kama trendy hivi nini kimepelekea maana zaman haikuwa hivi
Hii sijui kama ni uturuki au wapi, utanipa sh ngapi, ila hii nimeivaa vaa kidogo. View attachment 2246962Huna open ya uturuki uniachie kwa bajeti ya kidugu?
Naona na wewe una tatzio kama ambalo huwa linanisumbua mimi siku zote. Nimeviona viatu namba kubwa ziko pale Mlimani City kwenye duka linalouza viatu na suti, pale mwanzoni ukiwa kama unatokea Game unapandisha juu kuelekea kule ziliko benki nyingi.Kingekuwa size 45 ningekupa 50k faster.
Kabisa, kwenye kuigana Tz ndio mahali pake kwenye magari nahis ndio kunaongozaWabongo tuna tabia ya kuigana, we tizama hata magari, likianza kuingia toleo fulani basi litasambaa saana.
Uchawi aanze mmoja tu halafu akute mali safi bei rafiki, wabongo woote tutatiririkia huko.
Nitapita hapo siku moja nione japo sera zangu huwa sipendi kununua kiatu kwa bei zaidi ya 100k. Sisi wenye size kuanzia 44 kwenda juu ni changamoto kupata varieties nyingi za viatu.Naona na wewe una tatzio kama ambalo huwa linanisumbua mimi siku zote. Nimeviona viatu namba kubwa ziko pale Mlimani City kwenye duka linalouza viatu na suti, pale mwanzoni ukiwa kama unatokea Game unapandisha juu kuelekea kule ziliko benki nyingi.
Kuna duka moja pale lina viatu hadi size 47 na 48. Nilishangaa muno. Hilo ndiyo duka pekee watu wenye miguu ambayo size zake zimepinda wanaweza kupata viatu. Bei vinaanzia 250,000/= lakini nadhani hata 230,000/= wanaweza kukuuzia. Ni ngozi roiginal, safi kabisa
Nilipokuwa JKT niliwahi kuletewa buti ya jeshi namba 12, wakati size yangu ni namba 11. Afande akiamrisha "nyuma geuka", nageuka hadi napepesuka. Ilibidi wanitafutie size 11. Buti zilikuja mwanzoni zikawa mwisho namba 10, mimi nikakosa. Walipoleta tena mara ya pili wakaleta namba 12
Kwa size hiyo ya mguu, lazima utakinunua tu!Nitapita hapo siku moja nione japo sera zangu huwa sipendi kununua kiatu kwa bei zaidi ya 100k. Sisi wenye size kuanzia 44 kwenda juu ni changamoto kupata varieties nyingi za viatu.
Tunawapa 2700 tuuMatajiri wa JF kiatu 70K mnaomba discount,mademu mnawahonga kitu gani au mnawamega kimasihara?
Mleta mada mkopo hakuna hali ni mbaya kwa wengi wetu tunasubiria 23%