Kiatu cha kiume toka uturuki kinauzwa

Viatu safi kabisa.

Mume anavaa 44/45 na yeye. Ningekuwa nishakutumia pesa faster, si bargain mimiitabidi shemeji tumpeleke kwa sonara tupunguze vidole

Siwezi kua muelewa. Sina pesa
Ndio maana yakaitwa maelewano, unaweza usielewe wewe nikaelewa mimi

Achana nae, atakupasua kichwa. πŸ˜‚
 
Viatu safi kabisa.

Mume anavaa 44/45 na yeye. Ningekuwa nishakutumia pesa faster, si bargain mimi
Itabidi shemeji tumpeleke kwa fundi apunguzwe miguuπŸ˜‚

Ila sisi wenye mamiguu makubwa huwa tunakosa saana viatu vizuri na ukikipata bei yake ni moja ya sababu ya vidonda vya tumbo.
 
Kiatu nimekipenda sana na ningekinunua kwa bei hiyo. Lakin sasa sijui navaa size gani
 
Itabidi shemeji tumpeleke kwa fundi apunguzwe miguu[emoji23]

Ila sisi wenye mamiguu makubwa huwa tunakosa saana viatu vizuri na ukikipata bei yake ni moja ya sababu ya vidonda vya tumbo.
Nmemuonesha picha kavipenda kweli. Na hivi tayari keshaviagiza kuna rafiki yake yupo Turkey.

Tena hapa umeweka kwa bei y kutupa. Naweza kusema ni half ya price yenyewe
 
Nmemuonesha picha kavipenda kweli. Na hivi tayari keshaviagiza kuna rafiki yake yupo Turkey.

Tena hapa umeweka kwa bei y kutupa. Naweza kusema ni half ya price yenyewe
Halafu Kuna mduwanzi anasema sijui bei kubwa, sijui kimeenda na kurudi πŸ˜‚πŸ€£
 
Nataka kujua kwann siku hizi watu wananunua sana vitu turkey? in general imekuwa kama trendy hivi nini kimepelekea maana zaman haikuwa hivi
Nmemuonesha picha kavipenda kweli. Na hivi tayari keshaviagiza kuna rafiki yake yupo Turkey.

Tena hapa umeweka kwa bei y kutupa. Naweza kusema ni half ya price yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…