Kiatu cha Mwakinyo Hakikuwa na shida yoyote

Nguvu ipi aliyotumia jana?
 
Simba imeingiaje kwenye uzi wako?
Simba promo kibao Mbet sijui tumepata bilioni elfu na mia nane ila mpira uwanjani ziro Singapore Big Stars, Utopolo B tu hawaiwezi na makombe yote yako kabatini Yanga.

Simba wachezaji wake bomu sana wanamshawishi kocha wa Taifa Stars mazoezini kuwa wanajua, wakipangwa kwenye mechi kubwa wanachomesha na uwezo unakuwa mdogo. Kama jana walikosekana Sureboy na Farid kocha akajaza maSimba tukala 3 kwa Ubuyu!

Ooh mara Barabarani anajitapa anasema Simba tumetoa wachezaji wote Taifa Stars angalia walivyolitia aibu taifa jana huko Uganda!!shame on Makolo FC!!
 
Na yeye kwanini aliomba tumuombee,amepigwa aache kelele za kiswahili
 
Ukianza vzr bro, sasa kwenye simba tumekufanyaje

Poor investment na kufungwa fungwa snaa na lots of excuses . Sijui tumeona panapovuja na tunafanyia maboresho. Mkija mnapigwa tena

Mmekuwa ni watu wa kujifunza, mkifanya mchezo mnaishia Preliminary stage one
 
Kapigane Kam unaonda rais
umenichokoza sasa nina usongo kinoma na mzuka wa kukudunda wewe unaonaje tupange lini tukazipige kavu kavu Tanga beach mimi nawewe bila kuamuliwa nikuoneshe kuwa ndondi ni simple tu, au lete mzungu Smith , lete Pakiao , lete Mandonga wote wanakaa!!
Andaa pambano😁😁

Homeboy Mwakinyo kadundwa tunaona kwa TV sasa wewe unatakaje tumsifu kwa ujinga?
 
Ulitaka tumbebe? Kuangalia pambano lake ni moja ya kumsapoti
 
Sasa Simba imeingiaje hapo?, Timu zote zinakuwa na excuses zinapofungwa au kutoa sare( Hilo la Simba la kutawala ball possession, na wakati siyo lengo la mpira wa miguu pia ni sababu za kutafuta huruma ya mashabiki).
Mfano: Yanga huwa wanakuwa na excuses za uwanja mara nyingi( uwanja uliku mbaya).
Swali la kujiuliza ni kuwa kwani mpinzani wake( aliyeshinda) alitumia uwanja tofauti?
Kwa upande wa Mwakinyo siwezi kuzungumzia sana. Ninachoweza kuelezea ni kuwa Mwakinyo alipigwa T.K.O. Mengine hayo ni subjective ( anajua Mwakinyo mwenyewe, hivyo siwezi kupinga au kukubali). Kwahiyo, kama kiatu kilikuwa kinamsababishia enka anayejua ni mvaa kiatu husika ( yeye ndiye anayejua kuwa anasema kweli au uwongo).
 
Hakuna bondia bora aliyewahi kupiga magoti.

Hakika. Amuangalie Muhammad Ali moja ya Pambano alipigwa kama sio balance na ukakamavu alikuwa adondoke. But ali hold kamba akawa ana kwepa ngumi

Sio kupiga goti, hands up , mouth guide out then utuambie kiatu

Ni mambo ya hovyo na pride
 
Unaeweza kuta kwenye bag kulikua na mambo yake ya tanga

Kuendekeza tamaduni kuna punguza confidence yani na sawa na mwanafunzi alieingia na nondo kwenye mtihani akipoteza nondo yake basi lazima atafeli tu ila kazingua ni bora angekaa kimya kazi aliyochagua kupigwa kupo tu

Na wewe mtoa uzi apo simba kafata nini..
 
Kosa la mtoa uzi ni lipi?
Huoni amemuhimiza kuwa azidi kukazana na kukomaa ili aendelee kutoboa?
Shida yetu wabongo tunapenda kulambana nyayo sana.

Akipigwa aambiwe madhaifu yake arekebishe sio eti tumuache ndio inakuwaje sasa akiachwa?
 
Kama hatukumchangia why aje kwenye public kutupa huruma na maneno yake. Kama we don’t matter si angepotezea baada ya kipigo afanye yake. Tumia akili yako vyema
Kawaelezea watanzania waomata yaani mashabiki wake halisi. Sio wewe hater na wengineo wenye uelekeo kama wako.
 
Mwakinyo kamfikisi muhindi maana watu walikuwa na uhakika na wanachobet
 
Mwakinyo hakuaga vizuri nyumbani,au inteleligence yake ili fail(au haikuepo kabisa), any coincidence happening at at mass gatherer,na hapo wewe ukawa ndio muusika mkuu kwenye hiyo hadhara,is related to spiritual or planned,
 
Hakika. Amuangalie Muhammad Ali moja ya Pambano alipigwa kama sio balance na ukakamavu alikuwa adondoke. But ali hold kamba akawa ana kwepa ngumi

Sio kupiga goti, hands up , mouth guide out then utuambie kiatu

Ni mambo ya hovyo na pride
Kwanini asingewaambia trainers wake wafungue kamba za kiatu ili refa asimamishe pambano? Mwakinyo alizidiwa kiukweli... Alikuwa anarusha ngumi nyingi zisizo na impact kabisa.... Alianza kukata pumzi raundi ya pili tu. Mengine ni hadithi tu anatusimulia
 
Haya mambo ya kuuza na kununua mechi ni mabaya sana, kwa kweli simba ilaumiwe sana kwenye hili wao ndiyo walio uleta huu upunzi na sasa umeenda adi kwa akina mwakinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…