Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

bizzle11

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
246
Reaction score
198
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba
 
kumbe wabongo tunanunuaga tuzo eeeh! sijui angekuwa kachujua diamond ungesemaje jamaa.
umesahau kuwa kiba ndo anasemaga mond ananunuaga tuzo sasa leo yeye kashinda ndio maana nasema hivyo
 
Vichwa vyenu vigumu kuelewa kilichobaki ni kuwaoa tu ndio mtaelewa, ameanza The bold kamchukua Nifah,sasa hivi yupo kimya Nifah umsikii tena kushabikia upuuzi wa team kibakuli,tukimaliza wanawake wenu,tunahamia kwa wanaume,mkajiandae!!
Wewe hilo tundu lako silitaki ni kubwa mno, wakati Mimi ni kibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…