Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Wameelewa tatizo wanajifanya vichwa ngumu...!! Kimbiza Kiba, wakimbize.... Jeshi la mtu mmoja, hapo hamna collabo...
 
Msinisemee eee msinisemee eeee kisa mimi nimepata tuzo msinisemeee.....YYoooooo tanzanian boy PAPILIIIIII
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwa
si kweli.Kinachokuuma ni kukosa pa kusemea neno la 'alikiba anapita mule mule alipopita diamond'.
 
mkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
Acha uongo watu tunazungumzia sound city MVP wewe umekuja na watsuptv award acha kupanic relax
 
Hivi hizi tuzo huwa zinathaman gan kipesa? Au niheshima tu yakile ulichokifanya? Naomba kuuliza kwa mwenye kujua
 
Back
Top Bottom