Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Ngoja nimfate Kariakoo nikamwambie kuwa ajiandae akachukue tuzo yake naijeria maana mpaka mida namuacha maskani alikuwa anacheza keramu hana hata habari
Hahahaha mshtue kaka, kitu kimetiki kule haha[emoji23] [emoji23]
 
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba View attachment 451942
PIGO KWA DOMO BAKULI
 
I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.

Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid

Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
Dah kumbe kijana alikiwa kakabwa koo[emoji15] [emoji15]
 
I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.

Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid

Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
Awwwwww Sohwa kuanzia leo nakutunukia tuzo ya Afisa habari wa Team Kiba JF.
Sio kwa habari hizi, nakukubali sana Madame.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Kiba ila honestly sipo updated kama wewe.
Asante mama.

Siamini macho yangu kama Ali Kiba kaangusha wasanii wote hao!
OMG!He is King indeed...

Video ya Aje ni video tamu sana,huwa sichoki kuiangalia kabisa.

#TeamUshindi# [emoji123]
#TuzoZinaongea# [emoji39]
 
Meneja wa kiba ameshafanya kazi sounf city kwahiyo ni bakishishi lakini haitawasadia jipeni moyo kwa muda mfupi 2017 mtaona moto chibu kwenye kazi
 
Awwwwww Sohwa kuanzia leo nakutunukia tuzo ya Afisa habari wa Team Kiba JF.
Sio kwa habari hizi, nakukubali sana Madame.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Kiba ila honestly sipo updated kama wewe.
Asante mama.

Siamini macho yangu kama Ali Kiba kaangusha wasanii wote hao!
OMG!He is King indeed...

Video ya Aje ni video tamu sana,huwa sichoki kuiangalia kabisa.

#TeamUshindi# [emoji123]
#TuzoZinaongea# [emoji39]
Asante sana.
 
Mnajifariji humu,hivi show ya Dodoma imeisha vipi?
 
I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.

Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid

Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwa
 
Mnajifariji humu,hivi show ya Dodoma imeisha vipi?
Kuhusu show ya Dodoma tulifeli na sababu zilitolewa,,wonderful enough haihusiani na hii tuzo ya sound city ,,ila naelewa nia ya kulizungumzia hapa ,ili tuu kuvuruga furaha ya mashabiki WA alikiba!!kinachonifurahisha zaidi tumekushtukia!!
Basi,usiwe shida,anzisha Uzi kuhusiana na show ya dodoma ,,Ama omba Uzi wako utakaonzisha uunganishwe na zilizopo tayari(mana kuna nyuzi kuhusu kubuma kwa show ya Dodoma)!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwa
Hivyo kigezo cha ukubwa WA tuzo ni duration ya tangu zianzishwe????kwani mtvema zilikuwepo bila kuanzishwa????
 
Back
Top Bottom