Hahahaha mshtue kaka, kitu kimetiki kule haha[emoji23] [emoji23]Ngoja nimfate Kariakoo nikamwambie kuwa ajiandae akachukue tuzo yake naijeria maana mpaka mida namuacha maskani alikuwa anacheza keramu hana hata habari
Nauliza kununua tuzo sh ngapi unaongea ukuma **** kipapa weeteam kibakuli naona mmeshtuana kutoka mchikichini huko
PIGO KWA DOMO BAKULIWale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora ya mwaka kwa africa kupitia kituo kikubwa cha television cha soundcity televion. Hongera kingkiba View attachment 451942
Dah kumbe kijana alikiwa kakabwa koo[emoji15] [emoji15]I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.
Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid
Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
Awwwwww Sohwa kuanzia leo nakutunukia tuzo ya Afisa habari wa Team Kiba JF.I am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.
Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid
Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
Nashukuru sana mkuu [emoji120]Nakukubali sana kwa kusimamia kile unachoamini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo huwa unanifurahisha sanaVipi yule mzee wa kutegemea collabo hakuwemo nini?!
Nifah mnapeana zamu na The bold kutoa comments jf,maana leo ana like tu, mke unajimwaga uwanjani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzaramo huwa unanifurahisha sana
Bado wewe tutakuoa tu!!Kashazoea kujichomeka dildo kama chupa ya bia utamuweza wapi
Asante sana.Awwwwww Sohwa kuanzia leo nakutunukia tuzo ya Afisa habari wa Team Kiba JF.
Sio kwa habari hizi, nakukubali sana Madame.
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa Kiba ila honestly sipo updated kama wewe.
Asante mama.
Siamini macho yangu kama Ali Kiba kaangusha wasanii wote hao!
OMG!He is King indeed...
Video ya Aje ni video tamu sana,huwa sichoki kuiangalia kabisa.
#TeamUshindi# [emoji123]
#TuzoZinaongea# [emoji39]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwaI am really happy!!hizi ni tuzo kubwa sana Nigeria!!
Pia kuonyesha wimbo WA aje umekubalika kuna mwana mziki WA Nigeria amechukua biti yake'aje' kutumia kwenye wimbo wake na wimbo wake umefanya vizuri pia.
Pia,nikumbushe kuwa diamond alikuwa category mbili,best male na African artist of the year ,,category zote kachukua wizkid
Na,pia alikiba kwenye category ya best video of the year alikuwa pamoja na video ya 'baba NLA ya wizkid,'pana ya techno',dbanj naye alikuwepo,alikiba akaibuka kidedea
Sio kosa lako chokoraa la mchikichini wewe akili ndogo kama baasha ako ali kibwabwaNauliza kununua tuzo sh ngapi unaongea ukuma **** kipapa wee
Kuhusu show ya Dodoma tulifeli na sababu zilitolewa,,wonderful enough haihusiani na hii tuzo ya sound city ,,ila naelewa nia ya kulizungumzia hapa ,ili tuu kuvuruga furaha ya mashabiki WA alikiba!!kinachonifurahisha zaidi tumekushtukia!!Mnajifariji humu,hivi show ya Dodoma imeisha vipi?
Hivyo kigezo cha ukubwa WA tuzo ni duration ya tangu zianzishwe????kwani mtvema zilikuwepo bila kuanzishwa????[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] tuzo kubwa nigeria kwa kipi unazijua tuzo kubwa nigeria tuzo ni za kituo cha tv cha soundcity na zimenza kutolewa mwaka huu sasa cjui kuanzia lini zimeanza kuwa kubwa
**** la mama ako nani anakaa mchikichini au unataka kujuanaSio kosa lako chokoraa la mchikichini wewe akili ndogo kama baasha ako ali kibwabwa