Kiba abeba tuzo ya video bora soundcity Nigeria

Nifah mnapeana zamu na The bold kutoa comments jf,maana leo ana like tu, mke unajimwaga uwanjani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli mkuu,leo hubbie darling anapumzika baada ya hustling za wiki nzima.
 
mkuu unasema lupela sio wimbo mkali, unajua electronic wewe au ndo ushazoea afropop, hebu pata muda sikiliza electronic music
 
Vichwa vyenu vigumu kuelewa kilichobaki ni kuwaoa tu ndio mtaelewa, ameanza The bold kamchukua Nifah,sasa hivi yupo kimya Nifah umsikii tena kushabikia upuuzi wa team kibakuli,tukimaliza wanawake wenu,tunahamia kwa wanaume,mkajiandae!!
Jitahid utupe tundu hiloooo tutanyamaza...tundu siyo mchezo leteeee
 
mkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
 
Wewe hilo tundu lako silitaki ni kubwa mno, wakati Mimi ni kibamia
stupidiest coment of the year[emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83][emoji83]
 
Jitahid utupe tundu hiloooo tutanyamaza...tundu siyo mchezo leteeee
Tunamalizia wanawake,halafu tunahamia kwenu,tutawainamisha kama Salome,nenda kajiandae kuliwa tako
 
Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!
 
Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!
Upo tayari kwa matusi mkuu? Kama huna timu we soma comments na upite kimya.Ngoja waone comment yako team dodoma
 
Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!

Si lazima nyimbo zote zipendwazo nawe uone uzuri/utamu wake mie nyimbo kama Hakunaga wa Suma Lee na Mikasi wa Marehemu Ngwair sikuwahi kuona utamu wake katu hivyo hiyo ni kawaida mkuu.
 
mkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
Mkuu umechanganya kidogo mafaili tuzo unazosemea wewe ambazo amechukua Diamond, Alikiba na navykenzo ni tuzo za GHANA na sio NIGERIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…