asante kwa kumwelewesha.Mkuu umechanganya kidogo mafaili tuzo unazosemea wewe ambazo amechukua Diamond, Alikiba na navykenzo ni tuzo za GHANA na sio NIGERIA.
Acha unafki dadangu.!!!Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!
Kibakuli anaweza kufanya show kama ile ya Vodacom Wasafi sambaza upendo?...Hana jeuri hiyo
ushauri wangu, sikiliza kidogo electronic kama hujawahi maana wabongo wengi hawaijui aina hiyo ya mziki, enjoyOkey ni wimbo mzuri
Unaongelea Watsup Tv Awards hapa tunaongelea Soundcity Tvmkuu mbona unazungumzia upande mmoja kama sio mtanzania.. KWENYE HIZI TUZO DIAMOND KACHUKUA TUZO TATU NA ALLY KIBA KACHUKUA TUZO MBILI NA NAVY KENZO WAMECHUKUA TUZO MOJA..
Nimekuelewa mkuu mie ule wimbo naupenda kwa kuwa tuu ninamshabikia Ally na napenda aimbavyo kilichonitia uvivu ni uchache wa mashairi yaani ghafla wimbo umeisha..ushauri wangu, sikiliza kidogo electronic kama hujawahi maana wabongo wengi hawaijui aina hiyo ya mziki, enjoy
Ni sawa na muziki ya darasa bado sijaona utamu wakeSi lazima nyimbo zote zipendwazo nawe uone uzuri/utamu wake mie nyimbo kama Hakunaga wa Suma Lee na Mikasi wa Marehemu Ngwair sikuwahi kuona utamu wake katu hivyo hiyo ni kawaida mkuu.
Aiseee keramu tena, kaka STUNTER wanakuona wanakuona unakula tu ukwajuNgoja nimfate Kariakoo nikamwambie kuwa ajiandae akachukue tuzo yake naijeria maana mpaka mida namuacha maskani alikuwa anacheza keramu hana hata habari
Unashangaa keramu? Maisha yanaenda resi mdogo anguAiseee keramu tena, kaka STUNTER wanakuona wanakuona unakula tu ukwaju
Kuna zile walilipia mlangoni, alafu ukiskia tunahesabu usifikiri tumejaza minoti yote mezani, no!! Tunahesabu zilizopo account na ticket zilizouzwa kama kuna uwiano,mmeshazitoa Benki?
Hii thread ya Ali ghafla we umekuja na habari za Dimond.Mond ni self made jina lake linatajka bila kutegemea chochote, na kiba is affiliated huwezi kumuongelea kiba bila kumtaja mond bin laden!
Nenda kaulize Sounds City,Mtv Ema na Eatv Award watakupa Utamu wa AJE.Mimi si wa timu yoyote lakini ukweli bado sijui utamu wa AJE uko wapi!!!
Aithe brother nilijua goroliUnashangaa keramu? Maisha yanaenda resi mdogo angu
Mbona anazoDiamond atasubiri Sana
Vema sanaKuna zile walilipia mlangoni, alafu ukiskia tunahesabu usifikiri tumejaza minoti yote mezani, no!! Tunahesabu zilizopo account na ticket zilizouzwa kama kuna uwiano,
Alikuwa anashindanishwa na wafataoAlikuwa Anashindanishwa na Nani tuanzie hapo
Wakikusikia Team yake watakufukia na mapovuAithe brother nilijua goroli