Kiba ana utoto mwingi sana ndio maana hafanikiwi

Kiba ana utoto mwingi sana ndio maana hafanikiwi

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Kiba ana roho mbaya , roho ya kukunja ndio maana kila jambo analolifanya hafanikiwi.

Dharau kama hizi zitamponza.
20181106_162642.jpeg
20181106_162622.jpeg
 
Hiko ulikokiweka hapo kinathibitishaje roho yake mbaya?au ni mimi nipo outdated?

Labda lugha za vijana?sijui!!!
Hapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike
 
Hapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike
Sasa utoto wake hapo uko wapi mi nikajua pengine anasingizia kumbe nikitu ambacho alishawahi kukifanya
 
Back
Top Bottom