Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kiba ana roho mbaya , roho ya kukunja ndio maana kila jambo analolifanya hafanikiwi.
Dharau kama hizi zitamponza.
Dharau kama hizi zitamponza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saaaaaana yani,jamaa miyeyusho sanaAna akili za kimasikin Masikin sana
Hapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kikeHiko ulikokiweka hapo kinathibitishaje roho yake mbaya?au ni mimi nipo outdated?
Labda lugha za vijana?sijui!!!
Yaani kwa kukataaa kwake kutumika kama "daraja" la kumsogeza mnayempenda ndio amekua miyeyusho?saaaaaana yani,jamaa miyeyusho sana
cha ajabu sijamsikia mzee oil chafu akimtaja kwenye listHapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike
Sasa utoto wake hapo uko wapi mi nikajua pengine anasingizia kumbe nikitu ambacho alishawahi kukifanyaHapo maana yake anamzodoa Nasibu kwamba ni mtu a vikuku sana. Nasibu alionekana amevaa kimkufu kwenye enka maarufu kwa jina la kikuku ambazo ni tabia za kike
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf kuna watu mnavituko sanaKamfanyaje huyo kifaranga, kwa nini kawa katili hivi?
Kiba ana roho mbaya , roho ya kukunja ndio maana kila jambo analolifanya hafanikiwi.
Dharau kama hizi zitamponza.View attachment 923583View attachment 923584
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kamfanyaje huyo kifaranga, kwa nini kawa katili hivi?