Kiba anawacheza huku na kule

Kiba anawacheza huku na kule

mzurimie

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
6,143
Reaction score
3,625
Mamu (yule wa ulaya) na Kiba na Jokate

Hii ilidakwa insta wafuasi na Mamu wakionyesha kuwa bado yupp kwenye picha aaaaggghhh

1444549360947.jpg

1444549381724.jpg

1444549401895.jpg

1444549421524.jpg

Hii juzi walipoamua kujionyesha na pozi za kuiga ila hawakupata kiki chezea nyota...aaagh
1444549444534.jpg

Juzi sasa wivu umemjaa mamu wenzake wakarusha
1444549465566.jpg

1444549494464.jpg
 
Yani huyu mama ndio kampa gundu kiba, kamkosesha tuzo
 
Jokate nae amejibu kwa kuanza kupanda makukwaani kuweka show ma Kiba aagh kuchanganyikiwa hukooo, chezea kulea mwanaume aaaaaaah pesa inahuma

1444552772559.jpg
1444552786424.jpg
 
Chagua lowasa wew life ya Kiba anaiweza mwenyewe....
Au kama vipi wahi na wew nafasi maana unamwonea gere kidoti....
Ila ni baada ya uchaguzi
 
Kibakuli kwenye papuchi ndo taaluma yake (ana watoto 4 kila mmoja na mama yake) nasikia huyo mwenye rambo (kidoti) anamimba,ila muziki awaachie wengine yeye keshaisha msimu wake.
 
Chagua lowasa wew life ya Kiba anaiweza mwenyewe....
Au kama vipi wahi na wew nafasi maana unamwonea gere kidoti....
Ila ni baada ya uchaguzi

Wifi yako wewe huyo kamliwaze kaanza kukata mauno stejini naona kujiliwaza.

Wamejaribu kuzani nyota yao itakuwa kama ya wazazi wa Princess wapiiiii

Wajaribu lingine
Aaaaggghhhhh
 
Wifi yako wewe huyo kamliwaze kaanza kukata mauno stejini naona kujiliwaza.

Wamejaribu kuzani nyota yao itakuwa kama ya wazazi wa Princess wapiiiii

Wajaribu lingine
Aaaaggghhhhh

Hapo sasa nimekuelewa...
Kumbe umeileta hii mada yako kinafki ili kumfananisha kiba na mond?
Sasa mbona umezunguka sana?
 
Wifi yako wewe huyo kamliwaze kaanza kukata mauno stejini naona kujiliwaza.

Wamejaribu kuzani nyota yao itakuwa kama ya wazazi wa Princess wapiiiii

Wajaribu lingine
Aaaaggghhhhh

Hivi watu wasiishi maisha yao kisa dai?
Wasile, wameiga!
Wasinye, wamemuiga dai,!
Wasipande gari, dai ndo alivumbua kupanda gari!
Utoto mwingine bwana.!!
Kwa iyo mapenzi ni ya dai na zari tu hapa chini ya jua??
 
Back
Top Bottom