mzurimie
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 6,143
- 3,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibakuli Hana ubavu wa kumuacha huyu demu wa ulaya huyu demu ndo Ana Lea familia nzima ya kibakuli
una uthibitisho au?
weka hapaNdio ninao
weka hapa
hahahaha.Unataka niweke private chat zao hapa ili iweje nitakutumia we ndo uje uziweke hapa
Umenitapikisha na maneno hayo
Chagua lowasa wew life ya Kiba anaiweza mwenyewe....
Au kama vipi wahi na wew nafasi maana unamwonea gere kidoti....
Ila ni baada ya uchaguzi
Wifi yako wewe huyo kamliwaze kaanza kukata mauno stejini naona kujiliwaza.
Wamejaribu kuzani nyota yao itakuwa kama ya wazazi wa Princess wapiiiii
Wajaribu lingine
Aaaaggghhhhh
Wifi yako wewe huyo kamliwaze kaanza kukata mauno stejini naona kujiliwaza.
Wamejaribu kuzani nyota yao itakuwa kama ya wazazi wa Princess wapiiiii
Wajaribu lingine
Aaaaggghhhhh